Tujifunze kwa Vicky kuhusu ndoa

Kiufupi Vicky Hana bahati na ndoa...yule mwingne alimtapeli hvyo hvyo...Akala michango kabla ya ndoa akapotea kusikojulikana
 
Huu ushauri ni kwa wale wanaotegemea zaidi kupata mali za urithi. Kwa wale wanaohitaji tu kupata ndoa ili wapate watoto, hilo wala halitawasumbua!
 
Vicky akate rufaa tu mahakama ya juu. Ndoa ni ndoa , Tanzania inatambua ndoa za mke zaidi ya mmoja.

1. Uanasheria ni taaluma ili uipate itakupasa utumie miaka zaidi ya minne.

2. Ndoa ya Kikristo ili iwe ya Kikristo inavigezo vyake vikuu vinavyoitofautisha na ndoa zingine.
VIGEZO hivyo ni;
a) Haina Talaka, mpaka kifo kiwatenganishe
b) Ni Mke na Mume mmoja.

Mpaka hapo unaweza mpa ushauri dadaako akate rufaa au unataka akapoteze muda na Pesa zake
 
Pia hata kujenge Mali na uchumi mke wa pili inabidi awe makini kuhakikisha anatenganisha na Mali za mke aliyepita bila ivo itakula kwake
 
Hata Mimi niliamini ndoa ya kikristo haivunjwi CHINI ya just.lakini sio.Mahakama unatoa hati ya kuwatenganisha.Rejea ndoa ya kafulila na Jesca.
 
Kwa tafiti zangu ndoa za pili zinakuwa kama hazina mzuka yaani mtu aliacha mke akaoa tena mwingine...

Kuna kama hali fulani kila mtu anakuwa matumatu kwa mwenza wake haswa wanaume , anaweza asimwambia kuhusu vitu fulani mke wa pili sana sana mali zake ...Mfano mume ni mtu mzima anakaribia kustaafu au kashastaafu lazima kuna mali zake za mwanzoni za ujana atamficha mkewe mpya kwa ajili ya wanae .

Mara nyingi bora anayeoa kwa mpigo hata wake 6 ila anayeacha mmoja na kuoa ni hatari ,kwanza anayeacha na kuoa tena anakuwa kama hana ule userious wa ndoa kwa sana ukizingua anakutimua .


Mara nyingi ndoa ya kwanza ikiwa chali basi nyingine hazina mzuka .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…