Tujifunze: Niliuza simu na kuanzisha biashara

Tujifunze: Niliuza simu na kuanzisha biashara

Hapo uko vizuri ndugu Mimi nikushauli kama upo center au town au karibu na chuo fungua biashara ya chips itakulipa kuzidi hiyo unayo Fanya sababu kula lazima kila siku watu wanakula.

Ila izo yebo MTU akinunua Leo mpaka ziishe ndio aje kununua tena.

Mtaji Wa chips unaitaji laki mbili tu ivyo uza na cm ya mkeo ongezea utatoka tu ndugu.

Usiogope wala usiwe na haibu. Mimi mwenyewe baada ya kumaliza chuo nilikaa kwa shemeji ajira hakuna

Nikabahatisha kwenye Beting nikapata mkwanja nikaanza biashara ya chips ilinilipa mpaka nilipo pata ajira yakudumu kanda ya ziwa so najua unachofanya usikate tamaa mzazi.

Because I think you can make it, in fact, I'm sure and if you fall, stand tall and comeback for more.
Because ain't nothing worse than to stay at home wait for an employment man.

You Got me man

Do not stop man until you get enough.
Thanks sana man kwa ushaur wako
 
Hongera mkuu. Mawazo yako ndo mtaji wako tosha. Kidogo huzaa Kikubwa.
Insta-image-1.jpg
 
Mtu aaliyeweza kusukuma mlima ni yule aliyeanza kusukuma mawe madogo madogo. Umeanza na laki moja, laki moja itazaa milioni moja na zaidi ukiongeza juhudi na ubunifu kwa kumuomba Mungu pasipo kukata tamaa.
 
Hii ndo inaitwa kujiongeza, Binafsi nikimuona mtu amejiongeza na anauwezo wa kumudu maisha namuongezeaga mtaji (kama n ndugu), ila mtu anayekuja kuniomba mtaji halafu hajawahi fanya chochote simpi hata 100,

Kazana sana, na ukishazijua angle zoote za busness zako usisite kuwashirikisha wadau wako maendeleo, ili upige hatua za haraka haraka
 
Thanks mkuu
 
Ahsante na usijal mkuu
 
Small bring big that is the principle of business ,what u need to make more effort for what u have started don't see embrace to any one don't hesitate do it, we are many in town, waiting for employment
 
Hongera sana. Hata Bakhresa alianza na mtaji mdogo lakini leo ni mjasiliamali mkubwa sana na wa mfano
 
safi sana hii ndo inaitwa kuthubutu!! kazana kaka watu wanapenda kulalamika sana akati mitaji wameikalia
 
Back
Top Bottom