Mr Mikazo
JF-Expert Member
- May 26, 2016
- 1,594
- 800
- Thread starter
- #41
Thanks sana man kwa ushaur wakoHapo uko vizuri ndugu Mimi nikushauli kama upo center au town au karibu na chuo fungua biashara ya chips itakulipa kuzidi hiyo unayo Fanya sababu kula lazima kila siku watu wanakula.
Ila izo yebo MTU akinunua Leo mpaka ziishe ndio aje kununua tena.
Mtaji Wa chips unaitaji laki mbili tu ivyo uza na cm ya mkeo ongezea utatoka tu ndugu.
Usiogope wala usiwe na haibu. Mimi mwenyewe baada ya kumaliza chuo nilikaa kwa shemeji ajira hakuna
Nikabahatisha kwenye Beting nikapata mkwanja nikaanza biashara ya chips ilinilipa mpaka nilipo pata ajira yakudumu kanda ya ziwa so najua unachofanya usikate tamaa mzazi.
Because I think you can make it, in fact, I'm sure and if you fall, stand tall and comeback for more.
Because ain't nothing worse than to stay at home wait for an employment man.
You Got me man
Do not stop man until you get enough.