Tujifunze: Niliuza simu na kuanzisha biashara

Thanks sana man kwa ushaur wako
 
Mtu aaliyeweza kusukuma mlima ni yule aliyeanza kusukuma mawe madogo madogo. Umeanza na laki moja, laki moja itazaa milioni moja na zaidi ukiongeza juhudi na ubunifu kwa kumuomba Mungu pasipo kukata tamaa.
 
Hii ndo inaitwa kujiongeza, Binafsi nikimuona mtu amejiongeza na anauwezo wa kumudu maisha namuongezeaga mtaji (kama n ndugu), ila mtu anayekuja kuniomba mtaji halafu hajawahi fanya chochote simpi hata 100,

Kazana sana, na ukishazijua angle zoote za busness zako usisite kuwashirikisha wadau wako maendeleo, ili upige hatua za haraka haraka
 
Mtu aaliyeweza kusukuma mlima ni yule aliyeanza kusukuma mawe madogo madogo. Umeanza na laki moja, laki moja itazaa milioni moja na zaidi ukiongeza juhudi na ubunifu kwa kumuomba Mungu pasipo kukata tamaa.
Thanks mkuu
 
Ahsante na usijal mkuu
 
Small bring big that is the principle of business ,what u need to make more effort for what u have started don't see embrace to any one don't hesitate do it, we are many in town, waiting for employment
 
Hongera sana. Hata Bakhresa alianza na mtaji mdogo lakini leo ni mjasiliamali mkubwa sana na wa mfano
 
safi sana hii ndo inaitwa kuthubutu!! kazana kaka watu wanapenda kulalamika sana akati mitaji wameikalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…