Tujifunze: Niliuza simu na kuanzisha biashara

Hongera mkuu, penye nia, penye uthubutu, penye ubunifu na moyo wa kuchapa kazi, pana mafanikio.
 
naomba niwakalibishe kwenye group la wafanyabiashara tz nicheki ntakuadd 0759500807
 
Nakupongeza sana kaka kwa kuamua haya
 
Sio kweli, japokua inawezekana....umetengeneza story.. Ila kama ulikua unasita kuchukua hatua, nakutia moyo, anza kufanya hivyo..
Najua ni vigumu watu wengi hasa graduates kuamini kama mtu anaweza kufanya hiv kwakuwa wengi huwa wanaona aibu flan, classmate akiniona itakuwaje ...lkn binafsi niliuza PC yangu baada ya kumaliza chuo nikanunua mashine ya juice ya miwa nikatafuta chance hapo songas ubungo(walipo machinga) nasimamia show mwenyewe,,, nachukua miwa tandale (kwa guta) naleta ubungo napiga kazi sijawahi kupata chini ya 20,000 per day classmate wanapita pale na bahasha zao wanashangaa(yan unafanya hiki??) wanaenda wanarudi mm nasonga mbele nimefanya kama miezi minne nikapata mtaji...niko mikoani huku staki hata kusikia mambo ya kuajiriwa.
 
Sio kweli, japokua inawezekana....umetengeneza story.. Ila kama ulikua unasita kuchukua hatua, nakutia moyo, anza kufanya hivyo..
sio kwel vipi mkuu? ckulazmish kuamin mkuu
 
nna sim ndogo nokia ya torch mkuu zen mda mwingne naazma ya wife na pia km hapa natumia ya dogo mlimpa baada ya kununua hyo nloiuza
kiufupi sijaathirika kwa chochote baada ya kuiuza hyo cm na sio mda ntaleta mrejesho nmefikia wap na mengne mengi
 
watu haawaamin haya lakin huwez walazmisha wakiamin na nd maan nkaleta humu tushee,
mi pia skuwah waza km ntakuja fanya hii
 
najiandaa kuleta mrejesho wa wik mbil tatu hizi wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…