Tujifunze: Niliuza simu na kuanzisha biashara

Kabla sija comment ningetamani kujua hizo yebo ni product za hapa hapa nchini kwetu ama?

Maana huu uchuuzi wa kuongezea ajira Wachina unaniumiza sana kichwa.
 
Hapo uko vizuri ndugu Mimi nikushauli kama upo center au town au karibu na chuo fungua biashara ya chips itakulipa kuzidi hiyo unayo Fanya sababu kula lazima kila siku watu wanakula.

Ila izo yebo MTU akinunua Leo mpaka ziishe ndio aje kununua tena.

Mtaji Wa chips unaitaji laki mbili tu ivyo uza na cm ya mkeo ongezea utatoka tu ndugu.

Usiogope wala usiwe na haibu. Mimi mwenyewe baada ya kumaliza chuo nilikaa kwa shemeji ajira hakuna

Nikabahatisha kwenye Beting nikapata mkwanja nikaanza biashara ya chips ilinilipa mpaka nilipo pata ajira yakudumu kanda ya ziwa so najua unachofanya usikate tamaa mzazi.

Because I think you can make it, in fact, I'm sure and if you fall, stand tall and comeback for more.
Because ain't nothing worse than to stay at home wait for an employment man.

You Got me man

Do not stop man until you get enough.
 
Ilikuwa wapi mkuu
 
Hongera sana mkuu!!! Ni ujasiri ulioje!!!
Yaani mie natamani niiuze simu hii ata leo ili niingize pesa kwenye biashara.... Sema simu yenyewe ya kuazimwa [emoji26][emoji26][emoji26] Nimependa kweli wazo lako
Thanks mkuu. Uza tu unazuga imepotea
 
Ni nzuri,umethubutu,
Ushauri,ongeza tu vyombo vya ndani eg sufuria,bakuli,ndoo za plastic nk ,kwa mazingira ya vijijini utapata wateja,
Kuna vijiji pia,watu hubadilisha bidhaa kwa bidhaa,jaribu nahiyo pia,eg sufuria ya kilo 2,kwa kilo kumi za nafaka nk,.au viroba kumi kwa debe 1,la kilo 20,
Ushaur mzur mkuu
 
Japo mleta mada anaweza kuwa si mhusika mkuu, ila ni mawazo mazuri pia ushauri kwa vijana ambao unakuta simu ya laki 3 wakati soli ya viatu vyake imeisha kwa kutembeza bahasha ya kaki kuomba ajira wakati hiyo pesa ni mtaji tosha..
Trust me mkuu, ni me mwenyew, na hili ni wazo lililokuja baada ya kuona nalala na kuamka jumlisha kutafta matangazo ya kaz mitandaon pasipo na mafanikio
 
Kabla sija comment ningetamani kujua hizo yebo ni product za hapa hapa nchini kwetu ama?

Maana huu uchuuzi wa kuongezea ajira Wachina unaniumiza sana kichwa.
Dah cjafuatilia hlo mkuu, m najua hz ndo zilizopo na nd wanazovaa watu mitaan na zinatoka baas
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom