si ndio zenu wavivu mkiona watu wameendelea mnasema wez mtabk maskin hivohivoKo ninyi mkiiba hamliwi kabang?
Au ni kawaida mshazoea?
wanaelewa Sena wanajitia hawajuiHahahahahahhahahaha wataelewa tu mwisho wa siku
cjaelewa mnamaanisha nnSijafanya utafiti katika hilo, ila unalosema kama lina ukweli kiasi,maana siku hizi wapo wengi ,tena wengine wana kazi za maana tu.
Hata hivyo mlibebwa sana tangu mwalimu hadi kikwete. Karibu utawala wore hamjawahi kukosa Waziri mkuu. Mmetake hiyo advantage ya fursa kumiliki uchumi na kujifanya wajanja. Sasa hivi mnasema mnaonewa?? Makabila mengine mbona walikuwa hawalalamiki?wanaonewa wivu na viongozi wa nanii lakini bado wanasoma na maendeleo
Hata hivyo mlibebwa sana tangu mwalimu hadi kikwete. Karibu utawala wore hamjawahi kukosa Waziri mkuu. Mmetake hiyo advantage ya fursa kumiliki uchumi na kujifanya wajanja. Sasa hivi mnasema mnaonewa?? Makabila mengine mbona walikuwa hawalalamiki?wanaonewa wivu na viongozi wa nanii lakini bado wanasoma na maendeleo
naam kina mutalemwaPoa mkuu.
Wale wa povu waje kulimwaga hapa maana hawakosekani
truenikupe angalizo tu ukitaka fanya biashara kitu cha kwanza angalia kama hio biashara kuna mchaga anafanya maeneo huyo kama hayupo usiangaike kuifanya maana haina faida.
Kama unataka ishi sehemu ukakosa mchaga basi tambua hio sehemu haifai ishi kamwe
kihistoria
wachaga walitakaga kudai Uhuru wao wakiunganisha mikoa yote ya kaskazini yaani Kilimanjaro arusha tanga na manyara ila ujanja wa Nyerere akamzidi mzee wake free man maana yaaminika nyumba nyingi za block zenye bati zilikuwa kilim.
sawa nzee wa mdawiNime Miss sana nyumban
Old moshi (mbokom) nitakuja kuwasalimia Niko natafuta pesa Kwanza.
hakuna kurudi nyuma hata akituchukia akili ndio msingi wa yoteWachaga wanajitahidi sana katika nyanja mbalimbali za maendeleo.
Na wakiendelea kumtanguliza Mungu huyu zimwi mtu anayewachukia ataendelea kuaibika tu.
Wabillah Tawfiq
Alta tela nlyo nkeenda hoOhh ok, inyi ila madukani
kivp mkuuKabila linalo ongoza kwa kufunguliwa sredi. Mnazidi kutuponza mjue.
hahahaKwa majibu haya hakika namba 12 inakuhusu.
nikusaidieHebu ipe nyama kidogo hiyo point ukioa kwao umeula
Ngikeri Dar es Salamu mbekanyiAlta tela nlyo nkeenda ho
ulalu kudi ngker kunu mkoany