Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

nikupe angalizo tu ukitaka fanya biashara kitu cha kwanza angalia kama hio biashara kuna mchaga anafanya maeneo huyo kama hayupo usiangaike kuifanya maana haina faida.
Kama unataka ishi sehemu ukakosa mchaga basi tambua hio sehemu haifai ishi kamwe
kihistoria
wachaga walitakaga kudai Uhuru wao wakiunganisha mikoa yote ya kaskazini yaani Kilimanjaro arusha tanga na manyara ila ujanja wa Nyerere akamzidi mzee wake free man maana yaaminika nyumba nyingi za block zenye bati zilikuwa kilim.
 
wanaonewa wivu na viongozi wa nanii lakini bado wanasoma na maendeleo
Hata hivyo mlibebwa sana tangu mwalimu hadi kikwete. Karibu utawala wore hamjawahi kukosa Waziri mkuu. Mmetake hiyo advantage ya fursa kumiliki uchumi na kujifanya wajanja. Sasa hivi mnasema mnaonewa?? Makabila mengine mbona walikuwa hawalalamiki?
 
true
 
Wachaga wanajitahidi sana katika nyanja mbalimbali za maendeleo.

Na wakiendelea kumtanguliza Mungu huyu zimwi mtu anayewachukia ataendelea kuaibika tu.

Wabillah Tawfiq
hakuna kurudi nyuma hata akituchukia akili ndio msingi wa yote
 
Back
Top Bottom