Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

Kilimanjaro nyumba za kisasa tangu zaman MBNA
tangu 1986 hakuna nyumba ya nyasi KLM
n mkoa wa pili kwa naisha bora kwa mujibu wa takwimu za wizara ya feedha
 
Well said
 
Hata hivyo mlibebwa sana tangu mwalimu hadi kikwete. Karibu utawala wore hamjawahi kukosa Waziri mkuu. Mmetake hiyo advantage ya fursa kumiliki uchumi na kujifanya wajanja. Sasa hivi mnasema mnaonewa?? Makabila mengine mbona walikuwa hawalalamiki?
Mchaga gani aliwahi kuwa Waziri Mkuu?
 
Biashara matangazo. Namba 2 na 10 ni lengo la uzi
nilikimbiaga bomang"ombe baada ya kupata dem mkaali wa kimachame af wadau wakanisanula kuhusu hao jamaa ah ah
 
Mkuu baba yake Mbowe ndiye aliteam na Nyerere kuwaingiza Wachaga kwenye huko kudai uhuru. Baba yake Mbowe alikuwa na ushawishi mkubwa kwa wamachame.

Kilichotokea ni kwamba baada ya Mangi Shangali wa Machame kuukosa u Paramount Chief, yaani Mangi Mkuu wa Uchagga na Mangi Marealle wa Marangu ndiye aliyeshinda, elites clan za Machame hazikukubaliana na kutawaliwa na wamarangu hasahasa Marealle ambaye pia walikuwa wakatoliki na wamachame ni walutheri. Hapo ndipo elites clan za Machame zikaamua kuungana na Mwl Nyerere wakati tayari chief Marealle alishaenda nae kudai uhuru kwa Malkia.
 
nilikimbiaga bomang"ombe baada ya kupata dem mkaali wa kimachame af wadau wakanisanula kuhusu hao jamaa ah ah
You are totally weak, yani huyo dadangu ni lazima angekukata kichwa. Mwanaume wa ovyo ovyo hawezi oa mchaga hata siku moja..

Yaani wewe unaishi kulingana na opinions of others? Maisha yako yanaendeshwa kwa story za vijiweni!! Yaani hao wadau ndio wanakupangia wa kumuoa? Na ulivyo mjinga mpaka unapoishi ukakimbia kisa tu hearsay za wadau..

Rubbish!!
 
Namba 13 ndio kauli mbiu.pesa itapatikana tu,itake isitake
 
Ukijumlisha na haya yangu kweny hii picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…