mimi mkali
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,794
- 1,570
Sio wengi bana,ni baadhi tu tunaotokea maeneo ya marangu marangu huku.Namba 12 nilijua ni mchaga mmoja tu mwenye makidai kumbe wako wengi.
Ninachowapendea zaidi wachaga wa kiume sio wachoyo. Wanajua kutafuta na kutumia pesa. Wajomba zangu shikamooni.
13. Kwa mchaga hela itapatikana tu,kwa namna yoyote ile
Aikambe
Aikasa
Aikama
Mchaga wa NARUMU bila shaka weyeNimeshangaa....dhulumati wakubwa ni nani hapa duniani?
Afuu bahili kinoma, na hawapendani wala! Mi ni mchaga
kivipDuh!warombo mbona umewaweka kama watu wa nyongeza?
zilipendwaKm ww ni me,ukioa huko jiandae kuwa na michepuko nje mana hawawezi mtosheleza mwanaume kunako 6X6..
hawa wavivu wacheza ngoma hawawez elewaGet rich by any means necessary…
Ote mbe, Mwikaiwe nyi o marangu ?
na we kaibe uoneI agree, nilitaka tu aiongezee kwenye list. Maana matajili wengi wa kichaga wana historia hyo. Mfano A.M, sijui walimpata?
sanaaaKwa swala la kupenda na kujali familia wachaga wanaongoza jamani,
hakuna kabila linalowakuta wana umoja kama mchwa.
ukweli haupingiki hapa kuna watu wamefura hasira hahaThank You for Your Appreciation. Peace and Love
Kapsa monowamanimemwambia kuwa hakuna idara utakosa boss wa huko
hao waliondolewa n 2% ya waliobk
hahahaNi watamu pia
n loi meku okoKapsa monowama
inyi alya mwika n kfui na kany koko ,kaa koko nyi rombo ya hio mrasenyi na mwika yelawa mahidaOte mbe, Mwika
peleka upuuz wako mbali kwa wajinha wenzako wacheza baikoko
ingekuwa n hivyo si dunia nzma ingejua? MTU akiwa na maendeleo wapuuz badala ya kuiga mbnu za kufanikiwa mnapiga majungu,mtaishia kucheza baikoko na kulala vijumba vya nyasi hivyo hivyo shwain
Inyi mka hahahahan loi meku oko
Ohh ok, inyi ila madukaniinyi alya mwika n kfui na kany koko ,kaa koko nyi rombo ya hio mrasenyi na mwika yelawa mahida
Hahahahahahhahahaha wataelewa tu mwisho wa sikuukweli haupingiki hapa kuna watu wamefura hasira haha
Kabila linalo ongoza kwa kufunguliwa sredi. Mnazidi kutuponza mjue.