NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,273
Kwa mtu ambaye anasema hana soundcard, hadi kuamua kufanya muziki kama unataka kweli high quality sound ni bora ukanunua sound card safi kwa ajili ya kazi hiyo.
Sound card ni moja ya peripherals cheap kabisa $20 unaweza pata a very decent sound card, kutumia sound hardware ya kwenye motherboard inaharibu mziki unless unatumia motherboards zenye viwango which is something bongo sijaona.
Au tumia USB Port kama ur source of sound, zipo hardware nyingi ambazo zinatoa mziki kupitia kwenye USB, watu hutengeneza sorround sound siku hizi ambayo ni directional, mtu ukiisikia kwenye headphones za kiwango au sorround sound speakers hutamani mziki uishe sababu ya quality tu.