Tujifunze softwares za music/audio production

Tujifunze softwares za music/audio production

In addition.. sio mbaya tukapost kazi zetu humu huku tukipeana ushauri wa jinsi game inavyokwenda maana nowdays watu wameamisha mziki wa bongo fleva kwenda south na naija so tufanyaje ili tuutambulishe mziki wetu badala ya sampling za mbele?

tuweke vionjo gani vya kuutambulisha muziki wetu? marimba,ngoma,Miruzi, ama nini? tuendeleeni kuchangia ili hii thread yetu idumu wakuu ama nini? Cc Kram Billz magnifico okaoni KRISTIAN P shyja Kifimboplayer big-diamond eliasmushi
 
Of course wazo zuri. Ila mi bado learner sana. Kibaya zaidi sina guardian. But I hope through this thread I can make something.
 
Pia nilifanikiwa kupata logic pro. Ina features nyingi kushinda garage band. Ila katika vocal transformation ndio nasumbuka hadi saivi. Coz it was easier in garage band than in logic pro. However garage band haina intensive effects.
 
mimi huwa napendelea sana kutumia fruit loops kwa sababu ya sequencer yake iko so simple.. haiko complicated kama Pro tools ama logic pro jinsi nionavyo mimi. hivi hiyo garage band iko vipi kwenye kuexport full instrumental.. inatoa quality nzuri bila kuhusisha another Software for mastering?
 
Garage band ni kwa beginners. Ukiexport sauti huwa IPO chini. Pia huwa ni free kwa mac computers zote. Nahisi ndio sababu haipo ni professional zaidi
 
Garage band ni kwa beginners. Ukiexport sauti huwa IPO chini. Pia huwa ni free kwa mac computers zote. Nahisi ndio sababu haipo ni professional zaidi

anhaa kwa upande wa mastering za vocals huwa natumia Cubase maana iko poa kwenye upande wa kuexport quality mkuu.. ila logic pro sijaitumia saana sababu situmii Mac Computer
 
anhaa kwa upande wa mastering za vocals huwa natumia Cubase maana iko poa kwenye upande wa kuexport quality mkuu.. ila logic pro sijaitumia saana sababu situmii Mac Computer

Cubase iko poa sana,naikubali.
 
Nimefuatilia mtiririko mzima wa thread nadhani sasa nimepata jukwaa na watu muafaka wa kunifundisha muziki mpaka kuwa professional producer....

murano naomba contacts zako pm tuwasilianae kama uko dar tujuwe nawezaje kukuona ili pia nifanye set-up ya home recording studio maana ninavyo vifaa vyote mpaka mid keyboard ya korg na monitors za allesis...drum machine, sound card na mixer ndogo.
 
Kwa upande wa mastering za vocals huwa natumia Cubase maana iko poa kwenye upande wa kuexport quality mkuu, ila logic pro sijaitumia sana sababu situmii Mac computer

Q base inapatikana version za Mac?
 
Nimefuatilia mtiririko mzima wa thread nadhani sasa nimepata jukwaa na watu muafaka wa kunifundisha muziki mpaka kuwa professional producer....

murano naomba contacts zako pm tuwasilianae kama uko dar tujuwe nawezaje kukuona ili pia nifanye set-up ya home recording studio maana ninavyo vifaa vyote mpaka mid keyboard ya korg na monitors za allesis...drum machine, sound card na mixer ndogo.

Nakuja PM
 
Poa. Nitakuhitaji katika kunipa maujanja ya kuitumia. Murano
 
Last edited by a moderator:
unaweza kunitumia hiyo app niinstall kwangu?
nilishawai soma kwenye mtandao mmoja kwamba kwa kutumia simu hizi za kisasa unaweza ukaingiza sauti (vocal) ukaitoa na kuifanyia mastering kwenye comp na ikawa bora kwenye nyimbo?
 
unaweza kunitumia hiyo app niinstall kwangu?

ladyfurahia kama utatumia computer kwenye ishu za kurecord itakua mzuka sana. I recommend software za kuanzia nazo
install - "FL Studio 12" for beat making
Install - "Cubase 5" for audio recording and mastering..

Jinsi ya kuzitumia cheki beginners turtorial kwenye Youtube jinsi ya kuzitumia hizo softwares.
 
Asante kwa kunielekeza namna ya kuanza ngoja nidownload hizi app.

Asante mkuu
@ladyfurahia kama utatumia computer kwenye ishu za kurecord itakua mzuka sana. I recommend software za kuanzia nazo
install - "FL Studio 12" for beat making
Install - "Cubase 5" for audio recording and mastering..

Jinsi ya kuzitumia cheki beginners turtorial kwenye Youtube jinsi ya kuzitumia hizo softwares.
.
 
Jamani nipo ila kidogo nimebanwa lakini ninapopata nafasi kama hivi basi tutakuwa tunashauriana na kubadilishana mawazo pia
 
Kwenye suala la muziki wetu wenye asili ya kitanzania kupotea kwa radha yake ni la kweli na lipo wazi na hii inatokana na soko la muziki la ndani na la nje pia. Maproducers wengi pamoja na wasanii kiujumla kwa sasa wanaangalia maslai kwanza na ukiangalia hata kama wewe ni producer na kazi yako ambayo inakuingizia kipato huna budi kufanya muziki ambao upo kwenye soko na hii ni sawa sawa kwa msanii pia ili waweze kupata kipato na kujikimu na maisha.

Sasa basi cha kufanya kama wewe ni producer ninaamini hadi umefikia uwezo wa kuitwa producer basi lazima utakuwa mbunifu nitawapa njia ambayo kama mimi ningekuwa wewe basi ningeitumia ili angalau asili ya muziki wetu isipotee. Na hili linawezwa kufanya pasipo kumathiri msanii na style yake ya kuimba.

Cha kufanya ni rahisi jaribu kuweka some back ground melodies ambayo instruments zake zina asili ya kiafrika kama solo guiters etc. pia kama unaweza kupata nyimbo za makabila mbalimbali basi unaweza ukamodify vocals zao pamoja na instruments walizopiga kwenye kazi zako.

Nitakupa mfano wa nyimbo ambao angalau unaelements za kiafrika japokuwa style yake ni Trap music, sikiliza Gere ya weusi amefanya Nahreel mule ndani utaweza kusikia something like jazz au solo guitar kama sijakosea hasa kwenye verse ya mwisho sina uhakika.

Kwa mfano huo tunapata kuona kuona kuwa bado tunao uwezo wa kuweka vionjo vyetu kwenye kazi tunazofanya. Tafuta video teaser ya nyimbo ya Mesen Selekta inaitwa Mabele ambayo nahisi bado haijawa released utaweza kusikia maasai vocals inside. Nakaribisha michango yenu Asanteni
 
Kram Billz, Kwenye suala la muziki wetu wenye asili ya kitanzania kupotea kwa ladha yake ni la kweli na lipo wa

Nimekupata sawia mkuu

Niko na tutorial ya jinsi ya kutengeneza Afro pop hapa.. japo sijatumia Solo Guiter wala Maasai back vocals je niko kwenye mstari au nimevuruga? icheki hapa mkuu

Back
Top Bottom