Tujifunze softwares za music/audio production

Habari zenu wakuu, binafsi in producer ingawa cjajikita sana kwenye hii kazi, bado nahesabu masAa mambo yakae vyema, kuna wakuu ambao kwa mda sasa tuna share ideas, knowledge, beats nk. Kupitia watsupp, ilikuboresha zaidi nimetengeneza group MUSIC PRODUCERS nawakaribisha sana wakuu kwenye hili group ni SMS au nitafute kwenye watsup no.0754925814 tuna ujumbe wenye neno PRODUCER nikuunganishe. Naamini tutajifunza mengi karibuni
 
Natoa nafasi ya pekee kwa yeyote ambae yupo interested na kujifunza au kujiendeleza katika audio production aniPM mimi nitampa tutorials ambazo zipo katika mfumo wa videos bure bila gharama yoyote ila nitasikitika sana kama wewe umepewa bure halafu unawauzia wenzako au kuwanyima bila ya kuwa na sababu ya msingi. Asanteni
 
em nikuPM
 
Habari..kuna group la Whatsapp kwa Audio & Music producers wote Africa.. tupia namba nikuunganishe
 
Natoa nafasi ya pekee kwa yeyote ambae yupo interested na kujifunza au kujiendeleza katika audio production aniPM mimi nitampa tutorials ambazo zipo katika mfumo wa videos bure bila gharama yoyote ila nitasikitika sana kama wewe umepewa bure halafu unawauzia wenzako au kuwanyima bila ya kuwa na sababu ya msingi. Asanteni

Nime ku-pm mkuu
 
Kram u're the best,umetusaidia wengi sana kuanzisha huu uzi,zaidi nakushukuru kwa videos pia zinaendelea kunisaidia naamini zitanifikisha mahali flani,big up kwa wachangiaji wengine pia God bless.
 
Nilipokuwa mza nilisikiliza interview ya NAVY KENZO (AIKA NA NAHREEL) through Jembe FM wakasema wameshafungua chuo cha kufundisha mambo ya music ikiwemo production na wakasema each course itakost 1 mil na itakuwa ni miezi mitatu.

Napenda kujua hiki chuo kimeshaanza masomo na kinapatikana maeneo gani kwa Tanzania?
 
Nina imani kuwa wengi wetu ambao tunajifunza music production na hata ambao ni maproducers tayari kiu yetu kubwa ni kupata NEW PLUGINS na hata kama sio NEW PLUGINS basi labda uliiona sehemu au kwa mtu ila akakunyima(hii tabia wengi wetu tunayo) au pengine ulishindwa kudownload kutokana na kuwa ina size kubwa au inataka ununue, basi mimi ninachukua jukumu la kukupa fursa ya kuja kuchukua PLUGIN yoyote ambayo unaitaka ila hii ni kama nitakuwa nayo, kama sina basi itakuwa imeshindikana. Kwahiyo kwa yoyote ambae anahitaji PLUGIN fulani aniPM kama ninayo halafu tutapeana maelekezo na utaratibu wa jinsi ya kuipata.

NB; Nitakupa PLUGIN ambayo unahitaji na si vinginevyo, habari za kuulizana nina PLUGINS gani uanze kuchagua kiukweli sitakujibu.
 
Habari zenu wakuu, binafsi in producer ingawa cjajikita sana kwenye hii kazi, bado nahesabu masAa mambo yakae vyema, kuna wakuu ambao kwa mda sasa tuna share ideas, knowledge, beats nk. Kupitia watsupp, ilikuboresha zaidi nimetengeneza group MUSIC PRODUCERS nawakaribisha sana wakuu kwenye hili group ni SMS au nitafute kwenye watsup no.0754925814 tuna ujumbe wenye neno PRODUCER nikuunganishe. Naamini tutajifunza mengi karibuni
Niunge 0762698698
 
tunapenda urahisi saaana. hao walioanzisha software hizo, wanacheza na vyombo hasilia, kutuletea sisis huku ni kuua vipaji muda si mreeefe hakutakuwa na mpiga kinanda wala ngoma
 
Nani kakudanganya?
Hili software Umeambiwa hazina vinanda or anything else?
Usipende kuongea usivyojuA
 
Natoa nafasi ya pekee kwa yeyote ambae yupo interested na kujifunza au kujiendeleza katika audio production aniPM mimi nitampa tutorials ambazo zipo katika mfumo wa videos bure bila gharama yoyote ila nitasikitika sana kama wewe umepewa bure halafu unawauzia wenzako au kuwanyima bila ya kuwa na sababu ya msingi. Asanteni
Nimekupm mkuu
 
Natafuta mpiga keyboard/guitar tumake deal, ntamlipa nipo Dar anipm tu ntamrukia hewani
 
Back
Top Bottom