Tujifunze softwares za music/audio production

Fresh jamaa niaje?

Freshy kabisa kiongozi. Vipi ma-production kama kawa mkuu...?. Sikuskia mikono yako kitambo mkuu.

Na vipi kuhusu lile WhatsApp group for producers bado lipo kiongozi...?
 
hahah production imesimama kwa muda na Whatsapp group nadhani mdau Kram Billz atakua na info. Mimi siko Whatsapp nitarejea mwezi ujao.KIOO, post: 19302374, member: 129511
 
That's great mkuu. Ngoja tusubiri mkuu Kram Billz aje atupe info maridhawa hapa.

Thanks a lot dude.
 
Pamoja jamaa. Unafanyia production wapi?

Sifanyi officially mkuu nafanya home tu nipo Dar. But mostly huwa naandika sasa nikajua mikono unafanya kama kawaida nikasema tu-sacrifice beat yako moja japo tutoe [B.]JF's Anthem[/B] moja hivi tulete zawadi hapa jukwaani, si unajua creativity buddy.

That's That Bro.
 
Ungesema jamaa. Unatembea miondoko gani?
 
Ndio hivyo nimesema mkuu miondoko ni HIP HOP kiongozi.

Nimefikiria nikaona hakuna special track for JF aisee. Inabidi tuwape zawadi wadau, hope it will be the hottest one.

Thank You.
 
Njema sana hiyo. Basi nitakumia namba fulani unitupie kisampo halafu niangalie kama kuna beat inayoendana.
 
Njema sana hiyo. Basi nitakumia namba flani unitupie kisampo afu niangalie kama kuna beat inayoendana.

Ooh okay, that's great mkuu.

Hope itakuwa fine thanks mkuu nathamini mchango wako hapa jukwaani mkuu magnifico.

Much respect kiongozi.
 
Njema sana hiyo. Basi nitakumia namba flani unitupie kisampo afu niangalie kama kuna beat inayoendana.

Yes mkuu.

Uliniambia utani-check na number ili tuweze kuchekiana kiongozi. Nikasema let remind you coz kichwa kina mambo mengi kiongozi.

Thanks a lot.
 
Nashauri tujifunze vyombo mbalimbalu vya muziki ukifika kwenye software utakuwa na much option ya mziki gqni unauta hasa kionjogani sotware ikufanyie!!wapenda muziki na kutengeneza muziki tusikilize sana rock,jazz,raggea
 
Yes mkuu.

Uliniambia utani-check na number ili tuweze kuchekiana kiongozi. Nikasema let remind you coz kichwa kina mambo mengi kiongozi.

Thanks a lot.
yah ni kweli kaka. Ishu ni kwamba siko whatsapp halafu niko huku mashambani so kesho napanda mjini kuna mwana nitakupa namba yake utume hiyo sampo na mimi nikusendie beat.
 
That's great mkuu.

Ntafanya hivyo kiongozi wangu.

Thanks.
 
Habarini wakuu, kuwa kwangu kimya haimaanishi hatutaweza kubadilishana mawazo kuhusu audio production. Muda wowote unaweza ukauliza swali lolote kuhusu audio production na nitaweza kukusaidia vilevile nilitoa nafasi kwa yeyote mwenye uhitaji wa plugins, samples na audio production softwares anaweza kuwasiliana na mimi ili tujue unazipata vipi. Cha kukumbusha tu ni kwamba nitakupa vyote hivyo bure pasipo gharama yoyote. Karibuni
 
Back
Top Bottom