Tujifunze softwares za music/audio production

Tujifunze softwares za music/audio production

Kram Billz nsaidie nexus 2 mkuu, kama una link yake ikiwa cracked.

Nexus kupata kwenye link inakuwa ni ngumu kidogo kwasababu setup yake ni kubwa sana. Labda cha kukusaidia tuwasiliane ili uweze kuja kuchukua setup yake kwenye flash disk au hdd
 
Hivi mkuu nikitaka fungus studio ya kisasa iliyokamilika.kwa kila kitu approximately inaweza cost bei gani?
 
Hivi mkuu nikitaka fungus studio ya kisasa iliyokamilika.kwa kila kitu approximately inaweza cost bei gani?

Kwa uzoefu wangu katika tasnia hii ya muziki ni kwanza unakuwa na bajeti yako halafu ndio unaanza kutafuta vifaa kwasababu vifaa vya studio vinatofautiana unaweza ukakuta mimi natumia mac ambayo nimenunua 3mil wewe ukanunua pc ya kawaida laki 5 lakini wewe ukawa na kazi nzuri kuliko mimi. Cha kukushauri wekeza sana kwenye kujifunza na unaweza ukawa na vifaa vya kawaida tu ambavyo gharama yake jumla isizidi 3mil na kazi yako ikawa bora sana.
 
Yes Mr.
Screenshot_2020-02-06-10-59-09.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom