sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Mpo vijana?Yeah ni wazo zuri pia magnifico mimi nadhani huu mchakato ni tayari umeshaanza cha msingi ni kuuendeleza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpo vijana?Yeah ni wazo zuri pia magnifico mimi nadhani huu mchakato ni tayari umeshaanza cha msingi ni kuuendeleza.
Natoa nafasi ya pekee kwa yeyote ambae yupo interested na kujifunza au kujiendeleza katika audio production aniPM mimi nitampa tutorials ambazo zipo katika mfumo wa videos bure bila gharama yoyote ila nitasikitika sana kama wewe umepewa bure halafu unawauzia wenzako au kuwanyima bila ya kuwa na sababu ya msingi. Asanteni

Habari..kunagroup la whatsapp kwa Audio & Music producers wote Africa.. tupia namba nikuunganishe.
Habari..kuna group la whatsapp kwa Audio & Music producers wote Africa.. tupia namba nikuunganishe.
Add me 0762698698Ni add mkuu 0767222304
Niunge 0762698698Habari zenu wakuu, binafsi in producer ingawa cjajikita sana kwenye hii kazi, bado nahesabu masAa mambo yakae vyema, kuna wakuu ambao kwa mda sasa tuna share ideas, knowledge, beats nk. Kupitia watsupp, ilikuboresha zaidi nimetengeneza group MUSIC PRODUCERS nawakaribisha sana wakuu kwenye hili group ni SMS au nitafute kwenye watsup no.0754925814 tuna ujumbe wenye neno PRODUCER nikuunganishe. Naamini tutajifunza mengi karibuni
tunapenda urahisi saaana. hao walioanzisha software hizo, wanacheza na vyombo hasilia, kutuletea sisis huku ni kuua vipaji muda si mreeefe hakutakuwa na mpiga kinanda wala ngoma
Nimekupm mkuuNatoa nafasi ya pekee kwa yeyote ambae yupo interested na kujifunza au kujiendeleza katika audio production aniPM mimi nitampa tutorials ambazo zipo katika mfumo wa videos bure bila gharama yoyote ila nitasikitika sana kama wewe umepewa bure halafu unawauzia wenzako au kuwanyima bila ya kuwa na sababu ya msingi. Asanteni