britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
- #181
Yes sirYou've chosen the right path. TZ politics are a waste of your resources, just invest more in issues that matter to you.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes sirYou've chosen the right path. TZ politics are a waste of your resources, just invest more in issues that matter to you.
HahahaWatengeneze vya Bei nafuu hata vya kichina tufunge kwenye gari zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja mkuuKuna watu humu JF huwa wanashusha nondo kiasi cha sisi wengine kujiona kumbe tuna machache sana tunayoyafahamu hapa ulimwenguni.
Thnx Britanicca.
Kwenye magari ya kisasa kuna kifaa kinaitwa Event Data Recorder ni sawa na Black Box.Waweke na za kwenye magari
Hii itakuwa safi sana. Kuna vingi sana itasaidiaKwenye magari ya kisasa kuna kifaa kinaitwa Event Data Recorder ni sawa na Black Box.
Korea kusini kwenye gari za Hyundai wanaweka hiki kifaa.
Kuna Hyundai zina hiki kifaa na gari za mmarekani.Hii itakuwa safi sana. Kuna vingi sana itasaidia
MKUU SIO KWAMBA HILO BOX HALIHARIBIKI ILA HUWEKWA SEHEMU SALAMA ZAIDI AMBAPO NI VIGUMU KUPATA UHARIBIFU MKUBWA. HUWA LINAWEKWA NYUMA KABISA YA NDEGE.
PIA HUWA SIO JEUSI SIKU HIZI NI LA ORANGE ILI KURAHISISHA UPATIKANAJE WAKE PALE NDEGE INAPOANGUKA
Exactly
Elimu Haina mwishoKuna watu humu JF huwa wanashusha nondo kiasi cha sisi wengine kujiona kumbe tuna machache sana tunayoyafahamu hapa ulimwenguni.
Thnx Britanicca.
✍🏻Hakiruhusiwi kuwa cheusi mkuu ili kipatikane kwa urahisi na kisifanane na vingine