Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaita chaiMmmh, hii story ni ya kutunga kabisa, kama ulikuwa hujitambui to that extent, uliwezaje kukumbuka namba yako ya siri ta ATM card?
Sasa kama tumepewa ubongo wa kutafakari tufanyeje? Tusihoji? Amekumbukaje namba ya siri kwenye ATM ya kwanza kama alikuwa hajitambui? Halafu hicho kitambaa utakiepuka vipi, maana ni instantaneous effect it seems.Wabongo noma. Hii habari nimepata kwenye Group la chama chetu.... Vema kuchukua tahadhari na kujifanya "Ujuaji mwingi '" Huyu muungwana ka Share ili watu wengine wawe makini lakini mnaanza kuhoji mara hii habari ya kutunga...
Umejuaje?Shukuru hawajala kiboga
Google, " Devil's Breath" utafahamu vizuri kilichomtokea huyo jamaa...mnapewa tahadhari bado mnakuwa wabishi wabishiMmmh, hii story ni ya kutunga kabisa, kama ulikuwa hujitambui to that extent, uliwezaje kukumbuka namba yako ya siri ta ATM card?
Siku 2 milioni 2 ni sahihi1.ATM utatoaje mil 2 ..?
Alitoa moko moko1.ATM utatoaje mil 2 ..?
[emoji1787][emoji1787] kumbe mtu akiwa hajitambui na hajui linaloendelea anaweza kukumbuka password ya kadi yake.Alitoa moko moko
Kamba hii[emoji1787][emoji1787] kumbe mtu akiwa hajitambui na hajui linaloendelea anaweza kukumbuka password ya kadi yake.
Unaweza kutoa hata 5m ni makubaliano yako wewe na bank yako. Ila utatoa Kwa awamu.hii sio chai ya rangi itakuwa ni alkasusu.kwa siku kwenye ATM unaweza kutoa shilingi ngapi mkuu kabla sijachangia hiki kikombe cha alkasusu.
tukio limetokea jana na leo tuelezee ATM iliwezaje kutoa million 2 ndani siku mbili
Jmn itakuw alishamfuatilia kitamboDaaah!! Kama ni hiyo stori tumepigwa kabisa maana mtu kamwita jna lake, hilo jina kalijuaje kwanza wakt hamfahamu? Atm million 2 inatokaje kwa mfano, jaman