Tujihadhari na aina hii ya 'Matapeli'

Tujihadhari na aina hii ya 'Matapeli'

Wabongo noma. Hii habari nimepata kwenye Group la chama chetu.... Vema kuchukua tahadhari na kujifanya "Ujuaji mwingi '" Huyu muungwana ka Share ili watu wengine wawe makini lakini mnaanza kuhoji mara hii habari ya kutunga...
Sasa kama tumepewa ubongo wa kutafakari tufanyeje? Tusihoji? Amekumbukaje namba ya siri kwenye ATM ya kwanza kama alikuwa hajitambui? Halafu hicho kitambaa utakiepuka vipi, maana ni instantaneous effect it seems.
 
Mmmh, hii story ni ya kutunga kabisa, kama ulikuwa hujitambui to that extent, uliwezaje kukumbuka namba yako ya siri ta ATM card?
Google, " Devil's Breath" utafahamu vizuri kilichomtokea huyo jamaa...mnapewa tahadhari bado mnakuwa wabishi wabishi
 
Hii habari ishawahi kupostiwa humu JF miaka mingi sana iliyopita. Nadhan hata kama ilitokeaga kipindi hiko, huu utapeli haupo tena. Pole mkuu hii ni zilipendwa
 
Aisee pole sana mkuu. Asante kwa tahadhari. Saizi mtu akiniita natoka nduki namuachia na ndala
 
hii sio chai ya rangi itakuwa ni alkasusu.kwa siku kwenye ATM unaweza kutoa shilingi ngapi mkuu kabla sijachangia hiki kikombe cha alkasusu.

tukio limetokea jana na leo tuelezee ATM iliwezaje kutoa million 2 ndani siku mbili
 
Aiisee pole Sana....Hawa watu wanarudisha nyuma Sana plan za watu.
 
hii sio chai ya rangi itakuwa ni alkasusu.kwa siku kwenye ATM unaweza kutoa shilingi ngapi mkuu kabla sijachangia hiki kikombe cha alkasusu.

tukio limetokea jana na leo tuelezee ATM iliwezaje kutoa million 2 ndani siku mbili
Unaweza kutoa hata 5m ni makubaliano yako wewe na bank yako. Ila utatoa Kwa awamu.
 
Daaah!! Kama ni hiyo stori tumepigwa kabisa maana mtu kamwita jna lake, hilo jina kalijuaje kwanza wakt hamfahamu? Atm million 2 inatokaje kwa mfano, jaman
 
Back
Top Bottom