Pengine na hata Ngorongoro yenyewe!Ngoja tusubiri tuwaone hawa Wazanzibar wanataka kufanya kitu gani Loliondo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine na hata Ngorongoro yenyewe!Ngoja tusubiri tuwaone hawa Wazanzibar wanataka kufanya kitu gani Loliondo
Hajaoa huko?Mzee Mwinyi hana vinasaba vya Oman wala Uarabuni.
Kama wewe ni Mpagani shauri yako, tuache tunaoamini Mungu tuendeleeHii Katoliki mnapenda sana kuitumia ili ku justify ujinga wenu, better write your shit without mentioning that.
Unatetea ujinga.. upendo, neema, sijui na nini wakati wamasai wanaumizwa kule Loliondo usiku hawalali?
Stop this nonsense!.
Of course there is a difference; but you're completely missing the meaning intended in that statement you have quoted.Logically, semantically and grammatically there is huge difference between push through and push around.
Chemsha majani ya mlungulungu au mgagani kunywaWhat is the cure of the said problem ?
Huyu mama ni mtoto wa mzee ruksa wa nje ya ndoa ambaye wajomba zake ni waarabu wa Oman, jiongezeLoliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi.
Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha.
Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la Loliondo limeibuka na kuna watu wamekufa.
Haikutokea wakati Rais ni Mkapa, Nyerere au Magufuli.
Watu wa Oman wana mkono?
Mke wake..nasikia ndio alikuwa makamu wa rais enzi hizo.Mzee Mwinyi hana vinasaba vya Oman wala Uarabuni.
Huwezi kuwa na vinasaba na mkeo bali watoto wenu ndio watakuwa na vinasaba vyenu kama wazazi hivyo ukisema Hussein Mwinyi ana vinasaba vya uarabu ni sawa kwani mama yake ana vinasaba vya uarabu.Hajaoa huko?
Hicho ni kinasaba tayari.
EeeenHeeee Heee!
Vinasaba mnarithishana kwa kuzaliwa kuanzia Babu,Bibi,Mama,Baba,Dada,Kaka hadi kwa watoto na wajukuu.Sasa mzee Mwinyi hawezi kuwa vinasaba vinavyolingani maana hawana uhusiano wa kindugu wa aina yoyote.Hajaoa huko?
Hicho ni kinasaba tayari.
EeeenHeeee Heee!
Kenge wewe kikwete Kwani anatokea zanzibar?Mbona kikwete hujamtaja wewe kenge?
Mkuu 'Chifu Sonze', kibiolojia ninakuelewa unachosema hapa; lakini elewa maana pana inayozungumziwa hapa.Huwezi kuwa na vinasaba na mkeo bali watoto wenu ndio watakuwa na vinasaba vyenu kama wazazi hivyo ukisema Hussein Mwinyi ana vinasaba vya uarabu ni sawa kwani mama yake ana vinasaba vya uarabu.
Lakini sio sahihi kusema mzee Mwinyi ana vinasaba vya uarabu.
Mambo mengi ya Tanganyika huwa yanazorota sana kukiwa na viongozi wakuuu wanaotokea visiwani. Uswahili mtupu.Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi.
Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha.
Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la Loliondo limeibuka na kuna watu wamekufa.
Haikutokea wakati Rais ni Mkapa, Nyerere au Magufuli.
Watu wa Oman wana mkono?
Hao mkapa na nyerere aliowataja wanatokea znz? Au hujasoma mada?Kenge wewe kikwete Kwani anatokea zanzibar?
Kwani waliopewa Loliondo ni wa Oman au UAE?Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi.