Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 Aug 11, 2017 #1 Kufuatia Morata kuanza kwa kusuasua kwenye klabu yake ya Chelsea. Wengi wanahofu Chelsea wanaweza wakawa wamesajili garasa. Tujikumbushe baadhi ya wachezaji ambao waliwahi kusajiliwa kwa mbwembwe nyingi halafu wakadondokea pua kwenye timu zao mpya. Naanza na huu: Andy Carroll kutoka Newcastle kwenda Liverpool Ni moja kati ya sajili mbovu kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka.
Kufuatia Morata kuanza kwa kusuasua kwenye klabu yake ya Chelsea. Wengi wanahofu Chelsea wanaweza wakawa wamesajili garasa. Tujikumbushe baadhi ya wachezaji ambao waliwahi kusajiliwa kwa mbwembwe nyingi halafu wakadondokea pua kwenye timu zao mpya. Naanza na huu: Andy Carroll kutoka Newcastle kwenda Liverpool Ni moja kati ya sajili mbovu kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka.
mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,465 Aug 11, 2017 #2 Aise wanasoka mpoooo njooni humu Sent using Jamii Forums mobile app
G Gne gner JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 501 Reaction score 278 Aug 11, 2017 #3 Bebe man u,,falcao man u Sent using Jamii Forums mobile app
kiwaki JF-Expert Member Joined Dec 1, 2012 Posts 297 Reaction score 522 Aug 11, 2017 #4 Djemba djemba man u..huyu jamaa alikuwa garasaaa ikafikia hatua SAF kutowaamini ma black tena
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 Aug 11, 2017 #5 Lakini wakati mwingine tatizo si mchezaji bali falsafa ya kocha wa timu husika! Chelsea ni Mfano mmojawapo.
Lakini wakati mwingine tatizo si mchezaji bali falsafa ya kocha wa timu husika! Chelsea ni Mfano mmojawapo.
Mkomoli JF-Expert Member Joined Jul 16, 2016 Posts 382 Reaction score 197 Aug 11, 2017 #6 sanogo yaya wa arsenali booonge LA garasa
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Aug 11, 2017 #7 Pogba Man u
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Aug 11, 2017 #8 Francis Jaffer Arsenal Benteke Liverpool Jama Mbaa Yanga Okoufor Simba
Ibanda1 JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 723 Reaction score 1,125 Aug 11, 2017 #9 Pogba Manchester united anatugharimu sana huyu kiumbe Sent using Jamii Forums mobile app
C ChamaB Senior Member Joined Apr 11, 2017 Posts 142 Reaction score 241 Aug 11, 2017 #10 Emmanuel Okwi kutoka Esperance kwenda Yanga Sent using Jamii Forums mobile app
agadinho JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 582 Reaction score 324 Aug 11, 2017 #11 Jaja yanga Sent using Jamii Forums mobile app
- kANA - JF-Expert Member Joined Apr 17, 2017 Posts 4,072 Reaction score 10,514 Aug 11, 2017 #12 Thomas Vermaleen, Barcelona - KANA -
brave_3 JF-Expert Member Joined Jun 9, 2014 Posts 1,186 Reaction score 705 Aug 11, 2017 #13 Falcao------>Chelsea Falcao-------> man U Chamakh-----> Arsenal Sarah --------> Chelsea Torres --------->Chelsea Benteke --------> Liverpool Sent using Jamii Forums mobile app
Falcao------>Chelsea Falcao-------> man U Chamakh-----> Arsenal Sarah --------> Chelsea Torres --------->Chelsea Benteke --------> Liverpool Sent using Jamii Forums mobile app
Magnificaaaal JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 279 Reaction score 310 Aug 11, 2017 #14 Barbetov-----------------> Man Utd Depay----------------------> ManUtd HLeb>>>>>>>>>>>>> Barcelona Silvester ------------------> Arsenal Sent using Jamii Forums mobile app
Barbetov-----------------> Man Utd Depay----------------------> ManUtd HLeb>>>>>>>>>>>>> Barcelona Silvester ------------------> Arsenal Sent using Jamii Forums mobile app
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,135 Reaction score 48,827 Aug 11, 2017 #15 Magnificaaaal said: Barbetov-----------------> Man Utd Depay----------------------> ManUtd HLeb>>>>>>>>>>>>> Barcelona Silvester ------------------> Arsenal Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mtoe Barbetov, alicheza vizuri mpaka akawa top scorer kwenye ligi.
Magnificaaaal said: Barbetov-----------------> Man Utd Depay----------------------> ManUtd HLeb>>>>>>>>>>>>> Barcelona Silvester ------------------> Arsenal Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mtoe Barbetov, alicheza vizuri mpaka akawa top scorer kwenye ligi.
sawee225 JF-Expert Member Joined Jun 14, 2017 Posts 3,224 Reaction score 12,109 Aug 11, 2017 #16 dmaria............man u Sent using Jamii Forums mobile app
kidunula1 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2016 Posts 6,305 Reaction score 6,341 Aug 11, 2017 #17 Victor Lindelof toka benfica kuja Man U,cjui kama ata improve yule jamaa. Sent using Jamii Forums mobile app
Victor Lindelof toka benfica kuja Man U,cjui kama ata improve yule jamaa. Sent using Jamii Forums mobile app
kidunula1 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2016 Posts 6,305 Reaction score 6,341 Aug 11, 2017 #18 Senderos kwenda arsenal Sent using Jamii Forums mobile app
pachachiza JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,863 Reaction score 2,757 Aug 11, 2017 #19 Pape ndaw mzee wa hirizi kwenda simba. Sent using Jamii Forums mobile app
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Aug 11, 2017 #20 Juan S Veron-----man u