Tujikumbishe baadhi ya sajili mbovu kuwahi kutokea kwenye Soka

Tujikumbishe baadhi ya sajili mbovu kuwahi kutokea kwenye Soka

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Kufuatia Morata kuanza kwa kusuasua kwenye klabu yake ya Chelsea. Wengi wanahofu Chelsea wanaweza wakawa wamesajili garasa.

Tujikumbushe baadhi ya wachezaji ambao waliwahi kusajiliwa kwa mbwembwe nyingi halafu wakadondokea pua kwenye timu zao mpya.

Naanza na huu:
Andy Carroll kutoka Newcastle kwenda Liverpool

Ni moja kati ya sajili mbovu kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka.
 
Back
Top Bottom