Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mkuu nilikosea siyo man utd. Ni Barca typing errorWew mpira haujui kabsa
Song hajawah kwenda man utd
Falcao hakutokea man utd Bali Monaco ndo akaenda Chelsea man utd Alikua kwamkopo tu
sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
Falcao hata kama alikua kwa mkopo lakini klabu aliyokua anaichezea kabla ya kuja Chelsea si ni Man Utd.
Wewe mwenye kujua mpira ulipata GPA ya ngapi.?