Tujikumbishe baadhi ya sajili mbovu kuwahi kutokea kwenye Soka

Tujikumbishe baadhi ya sajili mbovu kuwahi kutokea kwenye Soka

Wew mpira haujui kabsa
Song hajawah kwenda man utd
Falcao hakutokea man utd Bali Monaco ndo akaenda Chelsea man utd Alikua kwamkopo tu

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
Mkuu nilikosea siyo man utd. Ni Barca typing error

Falcao hata kama alikua kwa mkopo lakini klabu aliyokua anaichezea kabla ya kuja Chelsea si ni Man Utd.

Wewe mwenye kujua mpira ulipata GPA ya ngapi.?
 
Kufuatia Morata kuanza kwa kusuasua kwenye klabu yake ya Chelsea. Wengi wanahofu Chelsea wanaweza wakawa wamesajili garasa.

Tujikumbushe baadhi ya wachezaji ambao waliwahi kusajiliwa kwa mbwembwe nyingi halafu wakadondokea pua kwenye timu zao mpya.

Naanza na huu:
Andy Carroll kutoka Newcastle kwenda Liverpool

Ni moja kati ya sajili mbovu kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka.
Wewe Jamaa Ni Mchochezi Namba 1 Duniani, Nani Kakwambia Morata Kasuasua Chelsea, Au Unaleta Unazi Wako Wa Simba Na Yanga Humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pitchou Nkongo … Yanga
Kataray … Yanga
Bahanuzi … yanga

Mrisho Ngasa … Azam

Mrisho Ngasa … Simba

Mrisho Ngasa … Mbeya city

Michael Owen … Madrid
Steve Mackmanaman … madrid
David Beckham … madrid

Victor Valdez … Manchester
Quinton fortune … manchester
Owen Agleves … Manchester
Allan Smith … manchester

Mikael sylvester … Arsenal




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom