Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mkuu nilikosea siyo man utd. Ni Barca typing errorWew mpira haujui kabsa
Song hajawah kwenda man utd
Falcao hakutokea man utd Bali Monaco ndo akaenda Chelsea man utd Alikua kwamkopo tu
sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
Balotelli - LiverpoolFrancis Jaffer Arsenal
Benteke Liverpool
Jama Mbaa Yanga
Okoufor Simba
Wewe Jamaa Ni Mchochezi Namba 1 Duniani, Nani Kakwambia Morata Kasuasua Chelsea, Au Unaleta Unazi Wako Wa Simba Na Yanga HumuKufuatia Morata kuanza kwa kusuasua kwenye klabu yake ya Chelsea. Wengi wanahofu Chelsea wanaweza wakawa wamesajili garasa.
Tujikumbushe baadhi ya wachezaji ambao waliwahi kusajiliwa kwa mbwembwe nyingi halafu wakadondokea pua kwenye timu zao mpya.
Naanza na huu:
Andy Carroll kutoka Newcastle kwenda Liverpool
Ni moja kati ya sajili mbovu kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka.
uweke kumbukumbu ya manenoMorata..usajili mbovu chelsea kama yeye alivyo mbovu
What goes around always comes around
Hii mtu ilikuwa inaninyima raha kila ikianza.MATHEW barca