Tujikumbishe baadhi ya sajili mbovu kuwahi kutokea kwenye Soka

Tujikumbishe baadhi ya sajili mbovu kuwahi kutokea kwenye Soka

Djemba djemba man u..huyu jamaa alikuwa garasaaa ikafikia hatua SAF kutowaamini ma black tena
Djemba djemba alisajiliwa km kiungo muhimu kabisa mbadala wa Paul scholes,tatizo alishinikizwa ili apate number asikubali kuitwa ktk team yake Taifa,jambo ambalo nilikuwa gumu kwake. Ferguson alishindwa kumpa nafasi kwa sababu akiitwa team ya Taifa ataacha pengo km angeaminiwa..Tangu hapo fergie hajawaamini tena wachezaji kutoka Africa. Mabadiliko yaliyofanywa na Caf yatawapa ahueni ya kuaminiwa wachezaji kutoka nchi zetu.. !!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Falcao------>Chelsea

Falcao-------> man U

Chamakh-----> Arsenal

Sarah --------> Chelsea

Torres --------->Chelsea

Benteke --------> Liverpool





Sent using Jamii Forums mobile app


wewe unapitiwa na wachawi sio bure, aliyekuambia torres ka flop chelsea nani?????
torres katupa uefa+fa+uropa. mpaka hapo akawa kafikia price tag.
 
ae9329885c14d3510c8be51f104df9bf.jpg

Huyu jamaa nimemsahau jina sema nachokumbuka alikamatwa na Hirizi uwanjani huko Mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Song kutoka Arsenal kwenda Man U.
Falcao kutoka Man utd kuja Chelsea.
Bila kusahau OKWI alipotoka uarabuni kuja Yanga.

Morata siwezi kumlaumu naamini akipata muda wa kucheza zaidi ata improve. Naomba asifananishwe na wachazaji wengine hivyo mimi sioni kama ni muda muafaka kumlaumu.

Niulizwe swali..
Wew mpira haujui kabsa
Song hajawah kwenda man utd
Falcao hakutokea man utd Bali Monaco ndo akaenda Chelsea man utd Alikua kwamkopo tu

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
 
Borgarde Barcelona kwenda chelsea

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
 
Wew mpira haujui kabsa
Song hajawah kwenda man utd
Falcao hakutokea man utd Bali Monaco ndo akaenda Chelsea man utd Alikua kwamkopo tu

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
Mkuu nilikosea siyo man utd. Ni Barca typing error

Falcao hata kama alikua kwa mkopo lakini klabu aliyokua anaichezea kabla ya kuja Chelsea si ni Man Utd.

Wewe mwenye kujua mpira ulipata GPA ya ngapi.?
 
Back
Top Bottom