Tujikumbishe baadhi ya sajili mbovu kuwahi kutokea kwenye Soka

Tujikumbishe baadhi ya sajili mbovu kuwahi kutokea kwenye Soka

Song kutoka Arsenal kwenda Man U.
Falcao kutoka Man utd kuja Chelsea.
Bila kusahau OKWI alipotoka uarabuni kuja Yanga.

Morata siwezi kumlaumu naamini akipata muda wa kucheza zaidi ata improve. Naomba asifananishwe na wachazaji wengine hivyo mimi sioni kama ni muda muafaka kumlaumu.

Niulizwe swali..
Hapo kwa Morata vipi mkuu? Bado tumpe muda?
 
Huyu
Obren Cirkovic alikua kipa mzuri sana labda kumbukumbu zako hazipo vizuri
Danny Sserunkuma-Simba
Chicharito-Real Madrid
Samwel Eto'o- Internazionale
Ricardo Kaka-Real Madrid
Robinho-Man City
Obren Cirkovic-Yanga
Mohamedi Shiboli-Simba
Salamba-Simba
Orji Obinna-Simba
Nkanu Mbiyavanga-Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoma hiyo hapo
 

Attachments

  • 20150927052801.jpg
    20150927052801.jpg
    40.1 KB · Views: 4
Back
Top Bottom