Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Ndio
Okay.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio
Shevchenko--------Chelsea!Falcao------>Chelsea
Falcao-------> man U
Chamakh-----> Arsenal
Sarah --------> Chelsea
Torres --------->Chelsea
Benteke --------> Liverpool
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka akiba ya maneno mkuuVictor Lindelof toka benfica kuja Man U,cjui kama ata improve yule jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwa Morata vipi mkuu? Bado tumpe muda?Song kutoka Arsenal kwenda Man U.
Falcao kutoka Man utd kuja Chelsea.
Bila kusahau OKWI alipotoka uarabuni kuja Yanga.
Morata siwezi kumlaumu naamini akipata muda wa kucheza zaidi ata improve. Naomba asifananishwe na wachazaji wengine hivyo mimi sioni kama ni muda muafaka kumlaumu.
Niulizwe swali..
Mkuu huoni anachofanya huko?Hapo kwa Morata vipi mkuu? Bado tumpe muda?
Teh.. Bado unaamini ni usajili mbovu?Niyonzima kwenda Simba kwa uhakika zaidi tumcheki @demigold
Danny Sserunkuma-Simba
Chicharito-Real Madrid
Samwel Eto'o- Internazionale
Ricardo Kaka-Real Madrid
Robinho-Man City
Obren Cirkovic-Yanga
Mohamedi Shiboli-Simba
Salamba-Simba
Orji Obinna-Simba
Nkanu Mbiyavanga-Simba
Pogba Man u
Duh!