Tujikumbishe kidogo maisha ya vijijini

Hapo unafunga vijiti viwili na kuweka mpira katikati yake. Kisha unaweka kijiti cha tatu nyuma kidogo katikati ambapo mpira unauvutia hapo na kamba yake. Unatengeneza kama "V" hivi. Kwenye angle ndio utabania kamba na ndipo utakapojificha kamba itakapoishia.

Hapo katikati au ndani kwenye "V" unamwaga nafaka za kuwavutia ndege. Wakitua tu kula nafaka unavuta kamba mpira unajifyatua unaenda kuwaokota.

Pia kuna ule mtego wa ungo, au upo wa manila mnazifunga vitanzi, au ule wa mti wa kukamatia nguruwepori

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…