Somji wa Chadema wewe tena unalalamika umetukanwa hebu jisome unavyomkashifu Bibi Titi...
Jisome tena hapa chini matusi yako.
Halafu Yericko anatuita sisi wadini kwa sababu tunajibu ujinga wenu wa udini.
We nilikuuliza siku za nyuma ukakimbia bila kunijibu!
KAMA WEWE SIO MTOTO WA BAHATI MBAYA!
WAPI ULISKIA SOMJI AKAZALIWA NA JUMA??
Hapo lzm muhindi alicheza faulo!
Busara ktk Maneno yako imechanganyika kigogo na kihindi! Sasa kukuelewa ni mashaka mno!
Teh teh teh teh!
Cc Tayeb
Wadini akina Ritz na kundi lake washaharibu uzi huu
hivi zawadi inayofaa iwe kumbukumbu kwa mwanasiasa lazima iwe barabara?Naendelea kusoma kitabu cha The Dark Side of Nyerere.Kitabu hiki kilipigwa marufuku Nchini.Lakini iliniongezea kiu kukisoma
Hadi Muda Huu Kambona amesahaulika kwenye Historia.Ipo siku atarudi kwenye Historia ya Nchi hii.
Nilitegemea Barack Obama Road iwe Kambona Road au Shanty Town Moshi iwe Oscar Kambona Streat.Osterbay iitwe Oscar Kambona Streat.Taifa haliwezi kurithi maadui wa mtu mmoja.Ni ujinga na Uzuzu.Ni laana.Tutende haki
Hapana mashule yetu, vyuo vyetu vinatakiwa visomeshe historia yetu watu wawafahamu hawa wazee mashujaa waliopigania uhuru kila mmoja kwa nafasi yake.hivi zawadi inayofaa iwe kumbukumbu kwa mwanasiasa lazima iwe barabara?
hivi zawadi inayofaa iwe kumbukumbu kwa mwanasiasa lazima iwe barabara?
hujakosea ila nataka kujua maana ndo naona wanasiasa wanaenziwa kwa majina ya barabara.Ni wapi nilikosema ni lazima iwe barabara?
Naendelea kusoma kitabu cha The Dark Side of Nyerere.Kitabu hiki kilipigwa marufuku Nchini.Lakini iliniongezea kiu kukisoma
Hadi Muda Huu Kambona amesahaulika kwenye Historia.Ipo siku atarudi kwenye Historia ya Nchi hii.
Nilitegemea Barack Obama Road iwe Kambona Road au Shanty Town Moshi iwe Oscar Kambona Streat.Osterbay iitwe Oscar Kambona Streat.Taifa haliwezi kurithi maadui wa mtu mmoja.Ni ujinga na Uzuzu.Ni laana.Tutende haki
Sikiliza wewe Somji wa Chadema, mnadhani haya matusi yenu kwa Waislam yanaisaidia Chadema au yanaobomoa Chadema?
Endeleni mtakuta na Waislam kwenye uchaguzi ulivyokuwa hauna akili wewe ni Verified user tena umevaa t-shirt ya Chadema halafu unatukana Waislam.
Nyie ndiyo mtakaompa wakati mgumu Dr.W.Slaa. mbele ya jamii ya Kiislam wakati wa uchaguzi.
cwezi nkaogopa kutoa mawazo yangu binafsi eti kisa nimevaa t-shirt ya chadema..
Uandishi wako tu wa facebook unaonyesha uwezo wako mdogo.cwezi nkaogopa kutoa mawazo yangu binafsi eti kisa nimevaa t-shirt ya chadema..
cwezi nkaogopa kutoa mawazo yangu binafsi eti kisa nimevaa t-shirt ya chadema..
Mengi yameongelewa kwenye uzi huu, lakini swala la udini linatoka wapi watanzania wenzangu. Hivi hatuwezi kujadili maada bila kuweka udini? nifikiri ni wakati sasa watanzania tufikiri na tufanye mambo yetu kama watanzania na si kama waislamu na wakristo. Mbona ulaya na marekani katika utaifa wao hakuna udini? suala la dini linabaki kuwa issue ya mtu binafsi
Tujiulize, kwa utaratibu huu tunajenga tanzania ipi kwa miaka kumi ijayo.
Tafakari lifanyie kazi jambo hili
Mkuu hii thread ukisoma kichwa cha habari tu utaona kuwa muanzilishi ana lengo moja tu! Kuonyesha ubaya wa mwislamu bi titi mohamed!
Na ukiangalia hakuna ushahidi wowote wa hakika alio uambatanisha na maneno haya!
Na mwisho anataka wenye kujua zaidi wamjuze!!!!!!!!
Sasa usishangae kuona waungwana wanao fahamu historia halisi kumtetea yule mama ambae ni mmoja wa watu walioteseka ktk kuutafuta uhuru wa nchi yetu!
Na huu ndio ukweli.
Dr Kahtaan,
Mie nilikua napita tu kuangalia kama kuna "uchafu" wowote ulioachwa ili nifagie...lakini naona umeshamaliza shughuli yoote wewe mwenyewe,na kuwaachia "vumbi"!? Duh! Kwi! Kwi! Kwi!
Ahsanta.
Cc;Hasanalis
Kama historia yako unayotaka kutupa sio ile ya Mohammed Said na wahafidhina wenzie tuko tayari kuisikia, lakini kama ndio hiyo hiyo kaa nayo tu tushaisoma sana na haina jipya zaidi ya propaganda za kidini tu....