Tujikumbushe: Bibi Titi alivyomwaga fedha kumuua Nyerere

Status
Not open for further replies.
Dada nipo zaid ya neutral,nimekir ni mkiristo,maana sipo kujibizana na mtu,wala kubishana na sipo kiimani am neutral kuliko unavyofikiria,tuzungumze ukwel.

Mkuu!

Nimepitia posts zako,yaani ulivyokua unawaandikia na kujibizana na kina Ritz na Faizafoxy mpaka imenilazim nicheke!

Umeshakiri na kutujuza mwenyewe ya kwamba una conflict of interest,sasa utaweza vipi tena kuwa impartial and/or objective ndugu yangu!? Kwi! Kwi! Kwi!....

Nakhis kila utakachojuzwa itakuwa kama vile "tunagonga ngumi ukutani"!?

Unalazimisha upewe majibu usoyataka na wala yasiyohusu kwenye thread hii kama ilivyoletwa na mtoa mada!?

Mimi nitakupatia kiduchu tu,lakini tutakapomaliza italazim kurejea kwenye hicho kichwa cha mada/thread kama kinavyotujuza...ili tusijemvunjia hishma mleta mada!

Ahsanta.
 
Ahaaa Gombesugu,mada ni namna gani Bibi Titi Mohamed alivyoshiriki kutaka kupindua serikali iliyokuwa inaongozwa na Nyerere 1970.Sasa ktk kujaribu kusema ni kweli alishiriki na Sababu hizi hapa,Kuna misigano hapo
Sasa jambo dogo ni je nini kilikuwa nyuma ya pazia?na ukiacha majaribio hayo ya 1964 na 1980,ni kweli hakukuwa na Tishio la mapinduzi mwaka huo 1970?Mi hapa sisukumwi na Udini.Nahitaji kuelewa upande wenu wa shilingi.
 
hao waliomkaribsha nyerere kwenye mji,kwanini wao walikaa mda wote huo bila kupata uhuru mpaka alipokuja nyerere..

Kiukweli waislam mna akili flani hivi za ajabu sana ambazo mnarithishana kizazi hadi kizazi..

Na ndiyo maana mwinyi na kikwete ndo ma-rais wanaosifika kwa kupindisha nchi wakati mkapa na nyerere wanasifika kwa kunyosha nchi..

Aisee wewe ni mdini sana...udini ni ugonjwa ambao hupunguza uwezo wa kufikiri...epukana nao!!!
Hao unaowapinga ndiyo waliomkaribisha nyerere ambapo kipindi hicho alikuwa ni mwalimu wa katika shule yetu ile kongwe ambapo ktk kufundisha kwake alikuwa anawapandikiza wanafunzi hisia za kiukombozi...hao wazee akina sykes ndiyo wakavutika naye Na kumuona atakuwa Na msaada ktk harakati za kudai uhuru.
Ni wazee hao hao walimvesha suruali huyu bwana mvaa kaptula...Ni wazee Hawa Hawa ndiyo walimwambia huyu bwana afunge ikiwa Ni kama njia ya kufanya maombi,kwenye masimulizi ya nyerere hili la kufunga aliwahi hadithia!!!
 
Nimekusoma kwa makini,japo umetiririka kiduchu tu.

Kwa kifupi;hawa wengi ya jamaa zetu ni wa kuwahurumia mno na kuendelea kuwagonga "misumari ya utosi" taratibu watafahamu/kutamalaki tu na ipo siku tutafika nao!

Unajua propagandas ni kama maradhi...yaani kukuingia ni mara moja lakini kukutoka yapita kitambo na jitihada.

Shukran kwa jitihada zako katika kulijenga Taifa letu hili changa...khasa kwa Ilm unayojitahidi kutoa kwa hawa brainwashed!

Ahsanta.
 
Waalykum salam warahmatullah wabarakatuh. Naam akhy alhabib gombesugu nimemueka sawa huyu mwanachadema ajue matusi dhidi ya uislamu/waislamu ni kosa la jinai na anakichafua chadema yake. kanyageni ni kampeni meneja wa Ben Saanane na huyu Nicholus aka mnywa mbege ni kampeni meneja wa Dr.W.Slaa, kwahiyo matusi yao kwenye uislamu/wairlamu tunayatumia kuwatanabaisha wapiga kura waislamu Tanzania kabla hawajaipigia kura chadema wafahamu wanawapigania kinani.
Tuko pamoja maalim.

Duh!

Shukran nyingi zikufikie Maalim wangu kwa kunifungua macho!

Hata hivyo mimi nilikua nakhis kitambo yakuwa wengi ya hawa jamaa ati wajifanzao ni "wasomi" na waliojawa na chuki za kidini/Islamophobia, lazim watakua na vyeo kwenye hiyo Chadema yao au wanapata maelekezo kutoka kwenye ngazi za juu za uongozi wa hicho kikundi/chama chao...kumbe sikuwa wrong hata kiduchu!?

Mtu yeyote ambae atafuatilai/anafuatilia kwa utuvu na umakini,I mean objectively, humu Jf...basi haimchukui muda kuyakinisha/kugundua yakuwa kwenye hizo pattern ya arguments kwenye threads nyingi mno kuna strategy/hidden agenda imepangwa au inatafutwa!

Bakhti njema tumacho na tunawafuatilia kwa makini mno...kwa mtindo huu inamaanisha ni khatari na khasara zaidi kwa ndugu zetu Waislam kuthubu hata kiduchu kuwapa kura hao Chadema.

Kama hatuna option nyingine madhubuti,basi ni bora tu tubaki na haohao "jamaa zetu" makhabith wa CCM..."zimwi likujualo halikuli likakwisha"!...abadan!

Labda,tena labda;kama watajirekebisha na hii trendy yao ya Islamophobia...nasi tutajaribu kutazama upya msimamo na maamuzi yetu!

Ahsanta.
 
dah... huyo chipaka tulikuwa tunakutana sehemu hapa dar.... kuna mtu alinipa story yake.. ndo nilijua kuwa nilikuwa naongea na mtu mkubwa sana ndani ya nchi hii....
 
Duh!

Shukran nyingi zikufikie Maalim wangu kwa kunifungua macho!

Hata hivyo mimi nilikua nakhis kitambo yakuwa wengi ya hawa jamaa ati wajifanzao ni "wasomi" na waliojawa na chuki za kidini/Islamophobia, lazim watakua na vyeo kwenye hiyo Chadema yao au wanapata maelekezo kutoka kwenye ngazi za juu za uongozi wa hicho kikundi/chama chao...kumbe sikuwa wrong hata kiduchu!?

Mtu yeyote ambae atafuatilai/anafuatilia kwa utuvu na umakini,I mean objectively, humu Jf...basi haimchukui muda kuyakinisha/kugundua yakuwa kwenye hizo pattern ya arguments kwenye threads nyingi mno kuna strategy/hidden agenda imepangwa au inatafutwa!

Bakhti njema tumacho na tunawafuatilia kwa makini mno...kwa mtindo huu inamaanisha ni khatari na khasara zaidi kwa ndugu zetu Waislam kuthubu hata kiduchu kuwapa kura hao Chadema.

Kama hatuna option nyingine madhubuti,basi ni bora tu tubaki na haohao "jamaa zetu" makhabith wa CCM..."zimwi likujualo halikuli likakwisha"!...abadan!

Labda,tena labda;kama watajirekebisha na hii trendy yao ya Islamophobia...nasi tutajaribu kutazama upya msimamo na maamuzi yetu!

Ahsanta.
Maulana gombesugu,

Mimi binafsi namshukuru Mungu hawa jamaa wa Chadema kutuonyesha dhamira zao mapema pia nashukuru sana JF kuwepo.

Mimi napenda waendelee na matusi yao dhidi ya Waislam na Uislam kuelekea kwenye uchaguzi mkuu watakutana na Waislam kwenye box la kura.

Hizi zote ni nusura za Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Gombesugu,ni hisia zangu kwamba kama c Sheikh Mohamed Said,basi ni mtu wa karibu yake.
Nilikuwa ninaombwa tu kuhabarishwa kwa maoni yenu.Yapata miaka 14 mwalimu hayupo,pamoja na hayo nchi ipo mikononi mwa nyinyi wenye malalamiko kila kukicha kwenye position zote kubwa labda wizara ya Ulinzi ya Nchimbi,miaka kumi ya Kikwete ingelitosha kuondoa malalamiko haya,sasa tatizo limebaki nini?Je ni kupotoshwa kwa historia tu au Kuna mengine?na kama ni historia iliopotoshwa je ina athari zipi katika muislamu wa Leo kujikomboa?na kama ni mengineyo ni yapi?
NB:uwe neutral sana,usiwe one sided katika jibu lako ikitokea ukanijibu ili nipate kuelewa zaid.

Mkuu!

As promised,lets me try a bit to amplify your suggestion! Ok!?

MfumoKristo has oppressed Muslims for decades in our Country and We are still suffering in general.

But,MfumoKristo organises further oppression within Muslim community carried by other Muslims aka Bakwata,such as patriarchy in particular.

So Bakwata are not innocent by-standers,they are agents of MfumoKristo by failing to fight it at all levels including at interpersonal levels.

We understand MfumoKristo to be at the very foundation of our government as created and planted by Nyerere himself!

You can't fight MfumoKristo without fighting against; Muslims socio-economic deprivation/marginalisation,Islamophobia,biased/unfair employment and developing skills,highly disproportional development within Muslims majority/inhabited areas,unequal representation in our government and other leading institutions as well as self-hate/arrogant Muslims at the same time.

We acknoweldge that the anti-Colonial struggle sacrificed by Wazee Wetu carried major dreams for liberation and We honour those who sacrificed supremely,in the course of those struggle,among them Hajat Al Marhum Bi.Titi Bint Mohammed.

However,Muslims we find very little to celebrate 50years after "Uhuru"!!?

Wazee Wetu,never intended to chase out Colonizers in order for us to suffer again under the government controlled and supervised by MfumoKristo.

The majority of Muslims condition in our Country, currently is a disaster zone. However,it's not Allah given situation nor a natural disaster.

We have arrived here because of systematic oppression,suppression and marginalization we had to endure for decades under Nyerere and consequently his legacy.

We focus on Tanzania as our immediate challenge...but,but we won't stop there!

The truth about Muslims and their suffering in our Country stands in front of us all;refusing to budge an inch and go away.

Few attempts have been made to conceal it,yet it audaciously persists;daring us all to see,hear,smell and touch its vulgar nakedness.

When Muslims are left with little or at some places/times no education,highly disproportional socio-economic mobility,biased employment and developing skills,no one can claim ignorance Sir!

This blatant thruth is our public secret...bearing in mind that as a Country,we're part of a global village.

It's this shared open secret that uphold the social and political bodies which benefit from the silence about Muslims predicament in our society.

That majority of Muslims are consigned to structural marginality in all spheres of social existence has become an accepted reality...it's even socially acceptable to say "Waislam hawajasoma" and/or "Waislam ni wavivu wa kusoma"!?

Muslims oppression has become institutionalized;we perceive our reality in a historical terms.

It has long been obvious that our society continues to favour "whitewash" as a solution to the multitude of sins committed against its Muslim population.

What about putting "part" of the blame where it belongs!?...

Now,I say; Nyerere and his legacy aka MfumoKristo is highly responsible for Muslims condition,and yes it's our responsibility to remove those conditions peacefully and intelligently.

But many of these condition/s require a collective of us as a Nation coming together. However,it keep coming back/reverts everyday,you know why!?

Cause the same MfumoKristo and its followers/defenders keep convincing us;they are not the real problem!? Kwi! Kwi! Kwi!

Call me his "praise-singer",if you will...but critics of Sheikh Mohammed Said will talk profusely about loads of shit and other unworthy stuff.

I'm yet to hear these critics give their considered view on the plight of Muslims in our society!?

Sheikh Mohammed Said is an intelligent,well educated,with excellent reputation,exposure and an unapologetic Scholar who knew Nyerere well,our history as well as he knows his own!

Lets stop wasting energies by cheap arguments and propagandas...it's about time we've sincere,meaningful and constructive debate as a Nation.

Again,we shall never fall silent,feed on denial and turn a blind eye to repulsive state of affairs.

Ahsanta.
 
Bibi Titi alikuwa changu tuu ktk siasa...alikuwa nusunusu kwa wanaharakati wa kiislam wazee wa MS wapindua misikitini , na alikuwa muu nje ktk TANU.Nyerere alimtumia tuu ktk kuhamasisha wanawake ....km CDM wasivyotaka deal evenly with Zitto au mama yake.Hakuna asiyejua kuwa wapo busy sana na vi deal vidogovidogo vya kidini , kikanda, kibinafsi etc...
Nyie wafuasi wa Chadema tumeishawazoe kwa matusi mnawatakana wazazi wetu matusi makubwa mnachuki na Waislam subiri mtakutana nao 2015 kwenye uchaguzi.
 
Haroub Othman ni islamist mwingine ambaye alikuwa mhuni tuu aliyejificha chini ya mzungu wa prof...na UDSM enzi ya monopoly yake.Ndie aliyenifanya niichukie, niidharau na kuanza ifuatili UDSM kwa makini.Wao andio waligeuza chuo kuwa cha wapiga debe wa wahalifu wote wa Africa...Nilisikiliza mara moja moja akiohijiwa BBC na waandishi wajinga wenye mchanganyiko wa kijamaa, na kiislam..ambao ni ngumnu san kuona ukweli zaid ya propaganda.Kunazia hapo hadi Leo nasema afike haraka alipo John Mpiga Ramli aliyependa jiita mnajimu mkuua.Kutoka Magomeni.

Wewe unaamini Nyerere alivyoamua kutojibu alikosea....?Kweni Nyerere alikuwa kichwa, kma lizungukwa hadi na maprofessor wajinga wanaoendeshwa na masheikha wasio na shule......hakutaka wapa nafsi ya kuendesha propaganda au lolote la kuwafanya mpate sababua ya kuanzisha uasi na mwishowe muanze badilisha kila sbaabu ilimradi tuu ugaidi ufanyike..Matokeo yake Nyerere akafanikiwa wakata mishipa ya ugaidi ahadia kafa..angeomba nini Tena kwa Mungu.Km ni Legacy yake mejaribu izika bado haizibiki..yeye wala hahitaji sifa zote ila zile kdogo mlizoshindwa zificha zilizowapokonya.Kwani zinatohsa kuwamaliza bado.

prof Haroub othman, Lipumba, Malima,Shivji....ni laana ya nchi...wana abuse sana Ilm Dunia....kweli majinn yana nguvu ya kuwaharibu watu akili.Hata mimi nisingemjibu mbea km haroub Othman..Nyerere alijua nia ya yule kimeo ndio maana akamwacha..kwani Mwajiriwa wa serikali badala ya kutoa elimu alikuwa akihubiri dini....badala ya kufanya tafiiti alikuwa akifanya majungu.

Sas wamefikia wapi..?

Mh Shivji ni nae ni laana ya nchi????????????????

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Anagalia akili ya mlevi sasa! Unamkashifu muungwana! Ukamsifu maluuni!
Teh teh teh !
Yaani kila ulifanyalo wewe ni opposite! Vipi unakosa haya kumsifu nyerere wewe!
Kiumbe aliyekuwa hapati usingizi kwa kutaifisha mali za watu!
Mwizi wa fadhila. Akiwasifu waislamu kwenye khutba zake lkn akiwauwa na kuwafunga jela bila amri ya mahkama!
Mali za waarabu na wahindi alizitaifisha bila haya! Mpaka leo majina ya wenye mali yako juu ya majengo na viwanda hivyo!
Wizara nyeti kazihakiki kwenye MFUMO KRISTO! Amekufa lkn mizimu yake KAMUACHIA DR SLAAA NA CDM YAKE!
WAPAROKIA WALIO LAANIWA!
Nakwambia 2015 sio mbali! Tutahakikisha hizo chupi zinawabana nanihii vibaya!
Na yule mchungaji wenu Dr slaa anadhani kujikomba kwa wamarekani kutasababisha kura ziibiwe! Mwambieni anapoteza wakati tu!
2015 hakuna cha kanisa wala mchungaji!
Tunasafisha uchafu aliotuachia Jaaluta Nyenyere!
 
Bibi Titi alikuwa changu tuu ktk siasa...alikuwa nusunusu kwa wanaharakati wa kiislam wazee wa MS wapindua misikitini , na alikuwa muu nje ktk TANU.Nyerere alimtumia tuu ktk kuhamasisha wanawake ....km CDM wasivyotaka deal evenly with Zitto au mama yake.Hakuna asiyejua kuwa wapo busy sana na vi deal vidogovidogo vya kidini , kikanda, kibinafsi etc...

CDM my foot!

Hivi wewe mlevi kweli unategemea ktk fikra zako yule kiongozi wenu mgalatia slaa aje aongoze nchi kweli?

Teh teh teh teh!
Halafu namna wewe na wenzako wa CHADEMA mnavyo tukana waislamu na KUSHABIKIA YALE MATESO WANAYOYAPATA!! Mi nakwambia hivi! KAMA CDM WATAONGOZA TZ BASI WAISLAMU WOOTE WATAKUWA WAMEKUFA!

HII NI GUARANTEE!
 
Mkuu!

As promised,lets me try a bit to amplify your suggestion! Ok!?

MfumoKristo has oppressed Muslims for decades in our Country and We are still suffering in general.

But,MfumoKristo organises further oppression within Muslim community carried by other Muslims aka Bakwata,such as patriarchy in particular.

So Bakwata are not innocent by-standers,they are agents of MfumoKristo by failing to fight it at all levels including at interpersonal levels.

We understand MfumoKristo to be at the very foundation of our government as created and planted by Nyerere himself!

You can't fight MfumoKristo without fighting against; Muslims socio-economic deprivation/marginalisation,Islamophobia,biased/unfair employment and developing skills,highly disproportional development within Muslims majority/inhabited areas,unequal representation in our government and other leading institutions as well as self-hate/arrogant Muslims at the same time.

We acknoweldge that the anti-Colonial struggle sacrificed by Wazee Wetu carried major dreams for liberation and We honour those who sacrificed supremely,in the course of those struggle,among them Hajat Al Marhum Bi.Titi Bint Mohammed.

However,Muslims we find very little to celebrate 50years after "Uhuru"!!?

Wazee Wetu,never intended to chase out Colonizers in order for us to suffer again under the government controlled and supervised by MfumoKristo.

The majority of Muslims condition in our Country, currently is a disaster zone. However,it's not Allah given situation nor a natural disaster.

We have arrived here because of systematic oppression,suppression and marginalization we had to endure for decades under Nyerere and consequently his legacy.

We focus on Tanzania as our immediate challenge...but,but we won't stop there!

The truth about Muslims and their suffering in our Country stands in front of us all;refusing to budge an inch and go away.

Few attempts have been made to conceal it,yet it audaciously persists;daring us all to see,hear,smell and touch its vulgar nakedness.

When Muslims are left with little or at some places/times no education,highly disproportional socio-economic mobility,biased employment and developing skills,no one can claim ignorance Sir!

This blatant thruth is our public secret...bearing in mind that as a Country,we're part of a global village.

It's this shared open secret that uphold the social and political bodies which benefit from the silence about Muslims predicament in our society.

That majority of Muslims are consigned to structural marginality in all spheres of social existence has become an accepted reality...it's even socially acceptable to say "Waislam hawajasoma" and/or "Waislam ni wavivu wa kusoma"!?

Muslims oppression has become institutionalized;we perceive our reality in a historical terms.

It has long been obvious that our society continues to favour "whitewash" as a solution to the multitude of sins committed against its Muslim population.

What about putting "part" of the blame where it belongs!?...

Now,I say; Nyerere and his legacy aka MfumoKristo is highly responsible for Muslims condition,and yes it's our responsibility to remove those conditions peacefully and intelligently.

But many of these condition/s require a collective of us as a Nation coming together. However,it keep coming back/reverts everyday,you know why!?

Cause the same MfumoKristo and its followers/defenders keep convincing us;they are not the real problem!? Kwi! Kwi! Kwi!

Call me his "praise-singer",if you will...but critics of Sheikh Mohammed Said will talk profusely about loads of shit and other unworthy stuff.

I'm yet to hear these critics give their considered view on the plight of Muslims in our society!?

Sheikh Mohammed Said is an intelligent,well educated,with excellent reputation,exposure and an unapologetic Scholar who knew Nyerere well,our history as well as he knows his own!

Lets stop wasting energies by cheap arguments and propagandas...it's about time we've sincere,meaningful and constructive debate as a Nation.

Again,we shall never fall silent,feed on denial and turn a blind eye to repulsive state of affairs.

Ahsanta.

Thanks Gombesugu!binafsi nadhani kwenye jamii iliyo na mikinzano kama hii ya kwetu mwisho ni hatari.My ombi try your best to abolish mfumo Kristo,you are majority in this country.But bear on your mind watu kama Sheikh Mohamed Said hawasaidii chochote,hata Leo wewe ukiwa magogoni hautafanya kitu ukiiingia na udin,utajaribu utashindwa.
Inahitaj changamoto zaid,na si suala la mambo ya kidin,na muhimu waislamu wawezeshwe kielimu,ucku mwema.
Mungu akubaliki sana.
 
hao waliomkaribsha nyerere kwenye mji,kwanini wao walikaa mda wote huo bila kupata uhuru mpaka alipokuja nyerere..

Kiukweli waislam mna akili flani hivi za ajabu sana ambazo mnarithishana kizazi hadi kizazi..

Na ndiyo maana mwinyi na kikwete ndo ma-rais wanaosifika kwa kupindisha nchi wakati mkapa na nyerere wanasifika kwa kunyosha nchi..

We nilikuuliza siku za nyuma ukakimbia bila kunijibu!
KAMA WEWE SIO MTOTO WA BAHATI MBAYA!
WAPI ULISKIA SOMJI AKAZALIWA NA JUMA??
Hapo lzm muhindi alicheza faulo!

Busara ktk Maneno yako imechanganyika kigogo na kihindi! Sasa kukuelewa ni mashaka mno!
Teh teh teh teh!

Cc Tayeb
 
sidhani kama JF ipo kwa ajiri ya ku judge uzao wa mtu..

OK,NAITWA SOMJI JUMA MALEKANI,MTU WA MBEYA,KABILA NI MSAFWA,KWENYE UKOO WETU HAKUNA MTU MUISLAMU WALA MUHINDI..
KULE MBEYA MAJINA WANATOA TU HAWAANGALII DINI,YANI USISHANGAE UKIKUTA MKRISTO ANAITWA SAID,MUSA etc..

jina la kihindi nimepewa na wazazi wangu nilipozaliwa sijui mmaana yake au kwanini walinipa,lakini kwanini uoji jina langu tu.!kwani haya majina ya PETER,WILSON,etc.. ambayo waafrika tunayatumia mbona sio asili ya afrika lakin mbona hujahoji.?

NA BAADA YA KUKUJIBU HAYO ULIYONG'ANG'ANIA NIKUJIBU UMEFAIDIKA NINI HASWAA.?

NAKUSHUKURU KWA TUSI LAKO LA KUA MIMI NIMEZALIWA KWA BAHATI MBAYA,INAELEKEA UNA UKARIBU NA MUNGU KIASI KWAMBA UNAJUA HUYU ALIZALIWA KWA MIPANGU NA HUYU KWA BAHATI MBAYA..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom