Tujikumbushe: Bibi Titi alivyomwaga fedha kumuua Nyerere

Status
Not open for further replies.
Na siku moja barabara ya kuelekea katika soko kuu la Rombo itaitwa Ben Saanane road. Au nawe utasahaulika? [emoji23][emoji23][emoji23]
 


Aiiseee.... Four years now!!
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu willium makori chacha ni babu mzaa mama. Umenikumbusha kitambo sana asee. Nakumbuka kipindi hicho baada ya mapinduzi kugonga mwamba aliandamwa na kesi za uhaini, hadi leo hakuna anae jua kinaga ubaga kuhusu tukio hili maana bibi zangu wanasema mzee hakuwahi kuwaambia hadi anaingia kaburini . But babu chacha alishinda kesi na baada ya hapo alipewa ukurugenzi wa maliasili. Asee nimemkumbuka sana huyu babu may his soul rest in peace[emoji112]

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Si tunaongea vitu vya maana watu wengine wanaleta pumba na mizaha kama huna point ya kuongea si unyamaze Silence=WISDOM
 
@Mohamed Said
 
Mwifwa,
Kitabu cha maisha ya Oscar Kambona kinaandikwa na mmoja wa mabingwa wa historia ya Tanzania.

Mwandishi huyu amepata kuandika kuhusu Tanzania.

Tusubirini kitabu kitoke.
Usisahau kutuletea samari yake humu
 
Mzee Said naona na huku upo.

Ila hapa mimi nabaki kama msomaji tu...nami nakisubiri kwa hamu kitabu hicho.
Mwifwa,
Kitabu cha maisha ya Oscar Kambona kinaandikwa na mmoja wa mabingwa wa historia ya Tanzania.

Mwandishi huyu amepata kuandika kuhusu Tanzania.

Tusubirini kitabu kitoke.
 
Kwa Profesa Ibrahimu Haruna Lipumba hapo umenena na uliandika haya Oktoba 2013 lakini yaliyokuja kutokea baadaye ni uthibitisho kuwa ukisemacho ni kweli. Ni ukweli mchungu sana kwa kweli ila inabidi ukubaliwe.
 
Mzee Nyerere alikuwa mchoyo sana wa madaraka yaani yeye hakutaka mtu apingane naye ki mtazamo , sijui alijiona kama malaikaa??

No wonder alikaa miaka zaidi ya 20 madarakani
no wonder watoto wake hakuna anayefuata nyayo zake
 
Mbona walimpa heshima ya barabara kama ni mhaini?
Alishiriki sana katika kuhamasisha harakati za kugombea uhuru, na Nyerere hakutaka kusahau mchango wake huo, ndiyo maana akampa msamaha haraka sana baada ya kuwa amekutwa na hatia hiyo ya uhaini.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…