Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Ngoja wajahidina waje kutafutia thawabu kwenye uzi wako........
Hahahaaaaaaha..hahaaa haaa haaaa Mabikira wanatudhalilisha!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja wajahidina waje kutafutia thawabu kwenye uzi wako........
Huntsman, alikuja kutubu na kuomba radhi, akasamehewa...Mwalimu alikuwa na huruma sana. Yupo pia waziri aliwahi kutinga getini Ikulu na familia yake yote akibubujikwa machozi baada ya kutimuliwa. Mwalimu aliwaonea huruma mama na watoto (moja kabebwa mgongoni!) akampa uenyekiti wa Kampuni ya Umma. Lakini yote tisa, babukubwa ni ile ya baba mzima kutembelea magoti akimlilia Mwalimu asimtimue baada ya kuvurunda mambo!Mbona walimpa heshima ya barabara kama ni mhaini?
Naendelea kusoma kitabu cha The Dark Side of Nyerere.Kitabu hiki kilipigwa marufuku Nchini.Lakini iliniongezea kiu kukisoma
Hadi Muda Huu Kambona amesahaulika kwenye Historia.Ipo siku atarudi kwenye Historia ya Nchi hii.
Nilitegemea Barack Obama Road iwe Kambona Road au Shanty Town Moshi iwe Oscar Kambona Streat.Osterbay iitwe Oscar Kambona Streat.Taifa haliwezi kurithi maadui wa mtu mmoja.Ni ujinga na Uzuzu.Ni laana.Tutende haki
Huntsman, alikuja kutubu na kuomba radhi, akasamehewa...Mwalimu alikuwa na huruma sana. Yupo pia waziri aliwahi kutinga getini Ikulu na familia yake yote akibubujikwa machozi baada ya kutimuliwa. Mwalimu aliwaonea huruma mama na watoto (moja kabebwa mgongoni!) akampa uenyekiti wa Kampuni ya Umma. Lakini yote tisa, babukubwa ni ile ya baba mzima kutembelea magoti akimlilia Mwalimu asimtimue baada ya kuvurunda mambo!
Halafu kuna vijana wanashabikia porojo na hadithi za kijinga wanazosimuliwa na wachochezi...ushauri, please keep that pandora box closed, dont ever ever try to open it! Mods, naomba hii mada ikiwezekana ifungwe kwani kuna mambo yanafaa yakae huko huko yalikozikwa...wengi wa vijana wanaojitahidi kuchangia ni wazi nyakati hizo hata wazazi wao hawakujua kuna siku watakutana, hili ni ombi tu...am out.
cc Moderator
Mbona walimpa heshima ya barabara kama ni mhaini?
Mkuu, kwa hiyo ni nini ilikuwa sababu au madai ya msingi ya jaribio hilo la mapinduzi...Ungeelezea hicho kipengele kwenye insha yako ili ilete mantiki kwa wanajf....
Humo kwenye hicho kitabu utakutana na Sheakh Yahya Hussein katika sura yake halisi.
Ila kisome kwa tahadhari sana.................yaani za kuambiwa changanya na zako.
Naendelea kusoma kitabu cha The Dark Side of Nyerere.Kitabu hiki kilipigwa marufuku Nchini.Lakini iliniongezea kiu kukisoma
Hadi Muda Huu Kambona amesahaulika kwenye Historia.Ipo siku atarudi kwenye Historia ya Nchi hii.
Nilitegemea Barack Obama Road iwe Kambona Road au Shanty Town Moshi iwe Oscar Kambona Streat.Osterbay iitwe Oscar Kambona Streat.Taifa haliwezi kurithi maadui wa mtu mmoja.Ni ujinga na Uzuzu.Ni laana.Tutende haki
Mzee Nyerere alikuwa mchoyo sana wa madaraka yaani yeye hakutaka mtu apingane naye ki mtazamo , sijui alijiona kama malaikaa??
No wonder alikaa miaka zaidi ya 20 madarakani
Kambona hana ata shule
Mohammed said...nakuomba uje uwaele weshe vijana hawa...you are most learned person of our history.
mohamed said hawezi rudi hapa kuna majina akiyaona anasepa.Yericko alimtoa nishai humu..akaanza daia kuhadithia na hawao wanaojidai kuwa victims..ambao wanalamishwa kuwa mashujaa zaidi ya hata wenyewe anavyoweza tamani na wapenda miradhi.....Sijui kwanini ahakumhoji na Nyerere.....
Nyerere alijuwa kuwa wzandiki walikuwa wakitamani san shari dhidi yake akaamua historia yake isiandikwe, kwa maridhiano ya kitaifa.By the way hakuona kwanini ahitajiw akati mengi yanajisema yenyewe.
Humo kwenye hicho kitabu utakutana na Sheakh Yahya Hussein katika sura yake halisi.
Ila kisome kwa tahadhari sana.................yaani za kuambiwa changanya na zako.
Nyerere alifuatwa na prof haroub muda mchache kabla ya kifo chake..haroub alimwambia..mwalim watu wawili hujawajibu embu jitahid uwajibu kwa hoja, wa kwanza ni ally muhsin barwani na mwingine ni mohammed said, hapo nyerere alipanga ampe shivji kazi ya kuwajibu..lkn kwa bahati mbaya mpk leo haijaandikwa biography yake..coz hakuna cha kujibu kwenye kitabu cha mohammed said..the best book for history of tanzania.