Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Tunawaza sana mpaka mavichwa yanaongezeka upana....Majobless jobless...."
huo unaitwa YAMENIKUTA sio wa BDP ni wimbo wa wale jamaa wa tmk ya zamani wakina KR,KULWA,juma nature kipindi iko hajulikani...wale walioimba kamua."wanagwaya gwaya wamekanyaga miwaya"
nakumbuka mashairi kama hayo ya BDP ila sikumbuki wimbo uliitwaje
Hao ni GWM kina KR wimbo unaitwa Yamenikuta wakimshirikisha II Proud aka Sugu kwa sasa na si BDP."wanagwaya gwaya wamekanyaga miwaya"
nakumbuka mashairi kama hayo ya BDP ila sikumbuki wimbo uliitwaje
ha ha ha we kweli wa zaman afu daz nundaz walitohoa kamanda toka kitambo kidogoMwanzoni penzi letu lilipamba moto,
Kupeana ulimi, kama na mama wake mtoto,
Mabusu kede wa kede kila mahali, ulkuwa upande wangu wa kushoto, na kwenye mahaba nilikubali kweli we' moto.
Hukusita, kunishika, kuashiria...
Enzi hizo "rudi mpenzi" na "kitambo kidogo" nilizihifadhi kichwani zote...
Mwenye nazo atuwekee hapa wanakwetu. Hasa "kitambo kidogo" ni kama "kamanda" ya daz nundaz...
...hahahahaha...alisema hata Amit(producer wa hiyo ngoma) anajua!Kuna kipande kimoja katika kumwambia drezzy chief alicheka haa haa hata miti inajua!
Yamenikuta mzee mwenzanguHao ni GWM kina KR wimbo unaitwa Yamenikuta wakimshirikisha II Proud aka Sugu kwa sasa na si BDP.
Walishirikishwa ngoma moja Kali sana ya Mr. II Sugu na lady JayDee "Mud a Mrefu". Mwenye huo wimbo naomba aniwekee.
Hii hapana! Hawa GWM kama sijakosea!Yamenikuta mzee mwenzangu
Sina changu
Wanga wengi anga zangu
Kiama chao ama changu
Ukiishi kwa upanga
Utakufa kwa upanga
Walimwengu wana mambo
Watakusemasema kwa kila jambo
Hawakai kukupakazia
Flan ana HIV
Wanapakaza hivi hivi
Ukirudi kwenye mitaa
Ndio balaa
Polisi wanakughasi
Wanatamani watumalize kwa risasi
Kucheka nataka
Kulia nataka
Ungefuatilia mtu nilie m quote wala usingeandika hivi. .Hii hapana! Hawa GWM kama sijakosea!
Hii verse aliimba Sugu baada ya kushirikishwa.
..SOLID GROUND FAMILY ipiHuku Big Dogg Posse, huku Solid Ground Family, huku Dar Young Mob, huku Hard Blasterz.
Kim Mgomelo kawakutanisha kwenye "Yo! Rap Bonanza"
Patamu hapo.