aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
- Thread starter
- #61
Yupo wapiDrez chief sahv hajieliewi!mipombee ya bei cheeee mizinga mingi!
Ila ni producer mzuri akitulia
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo wapiDrez chief sahv hajieliewi!mipombee ya bei cheeee mizinga mingi!
Ila ni producer mzuri akitulia
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni GWM bwana kama sikoseiMkuu na mimi nakumbuka hii ila sikumbuki wimbo unaitwaje
"Akili ni nywele nywele, kila mtu ana zake zake kivyakevyake kimpango wake wake...."
Hao ni GWM kama sikosei"wanagwaya gwaya wamekanyaga miwaya"
nakumbuka mashairi kama hayo ya BDP ila sikumbuki wimbo uliitwaje
Simba ashafariki na drezy kachoka sana sasa hivi nadhani ni stress,pombe Kali,bangi pengine na ungaDah! Kitambo sana... miongoni mwao wa mwisho kukutana nae alikuwa Drez Chief pale Soudcrafters! Yeye akiwa na Simba walinitengenezea beat moja kali sana... hadi leo naiota! Nikampa mwana mmoja hv; akashindwa kuitendea haki! Tangu enzi hizo; cjamuona wala kumsikia lakini ukweli utabaki pale pale kwamba BDP ilikuwa habari nyingine!
Ha ha ha ha asee umechanganya sana. Mauza uza hao ni Gangwe Mobb kama sikosei,Athumani ni Solid ground Family. Solid huko Yo rap bonanza sidhani kama hata kundi lao lilikuwepo"Mauza uza ahh, mauza uza mambo zigi zaga, shaghalabaghala.
Mauza uza ahh, mauza uza mambo zigi zaga, shaghalabaghala."
Au "Athumani akishalewaaa.."
Miaka ya tisini hiyo.
Nimecheka kwa nguvu ndugu alivyochanganya Gangwe mobb na Solid. Solid hawakuwepo Yo Rap bonanza....natumia akili mingi sana kuvuta kumbukumbu ya Solid Ground Family kwenye jukwaa moja la Yo!Rap Bonanza na Da Young Mobb,
..ila haiji mzazi!
....Da Young Mobb ni kabla/sambamba na Sugu ujue mzazi
Solid G hawakuwepo Yo Rap B1996. KBC alikuwapo. Ras Pompidou alikuwepo. Ephraim Kibonde alikuwepo. Mimi nilikuwepo.
Wewe hata kuandika a straight sentence tu shida.
Unapoandika "halafu Usishupaze shingo kubisha kuwa Sugu hakuwahi kuwa member wa Da Young Mobb!" kwanza hujaeleweka unamaanisha nini. Mimi sijabisha Sugu hakuwahi kuwa member wa Dar Young Mob. Nimesema Too Proud alikuwa member wa Dar Young Mob.
Kundi ambalo hata kuli spell hujui.
Hii ngoma naitafuta sana, daah.kitambo kidogo alifanya mika mwamba
Tunaendelea kuwakumbukaBDP ni ma bloo zangu na majiran zangu hapa kino kwakwel baadhi ya member wa group hali zao mbaya haswa DREZ yan ni kama kadata anakunywa mpaka gongo amekongoroka sana,meno ya show ya mbele 5 hamna,anaongea mwenyewe tu muda mwingi...Isssa yuko kigambon alihama kabisa Kinondon shamba,Computer aliondokaga muda sana kino sijui alipo
Sasa si umsaidie unakwama wapi??BDP ni ma bloo zangu na majiran zangu hapa kino kwakwel baadhi ya member wa group hali zao mbaya haswa DREZ yan ni kama kadata anakunywa mpaka gongo amekongoroka sana,meno ya show ya mbele 5 hamna,anaongea mwenyewe tu muda mwingi...Isssa yuko kigambon alihama kabisa Kinondon shamba,Computer aliondokaga muda sana kino sijui alipo
Huyu mzungu ametusaidia sana kuukuza muziki wetu.. respect sana kwakekitambo kidogo alifanya mika mwamba
Duh,drez kupoteza nlionana naye muda sanaBDP ni ma bloo zangu na majiran zangu hapa kino kwakwel baadhi ya member wa group hali zao mbaya haswa DREZ yan ni kama kadata anakunywa mpaka gongo amekongoroka sana,meno ya show ya mbele 5 hamna,anaongea mwenyewe tu muda mwingi...Isssa yuko kigambon alihama kabisa Kinondon shamba,Computer aliondokaga muda sana kino sijui alipo