Tujikumbushe Big Dogg Pose (BDP Kamili)

Tujikumbushe Big Dogg Pose (BDP Kamili)

Dah! Kitambo sana... miongoni mwao wa mwisho kukutana nae alikuwa Drez Chief pale Soudcrafters! Yeye akiwa na Simba walinitengenezea beat moja kali sana... hadi leo naiota! Nikampa mwana mmoja hv; akashindwa kuitendea haki! Tangu enzi hizo; cjamuona wala kumsikia lakini ukweli utabaki pale pale kwamba BDP ilikuwa habari nyingine!
Simba ashafariki na drezy kachoka sana sasa hivi nadhani ni stress,pombe Kali,bangi pengine na unga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mauza uza ahh, mauza uza mambo zigi zaga, shaghalabaghala.
Mauza uza ahh, mauza uza mambo zigi zaga, shaghalabaghala."

Au "Athumani akishalewaaa.."

Miaka ya tisini hiyo.
Ha ha ha ha asee umechanganya sana. Mauza uza hao ni Gangwe Mobb kama sikosei,Athumani ni Solid ground Family. Solid huko Yo rap bonanza sidhani kama hata kundi lao lilikuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1996. KBC alikuwapo. Ras Pompidou alikuwepo. Ephraim Kibonde alikuwepo. Mimi nilikuwepo.

Wewe hata kuandika a straight sentence tu shida.

Unapoandika "halafu Usishupaze shingo kubisha kuwa Sugu hakuwahi kuwa member wa Da Young Mobb!" kwanza hujaeleweka unamaanisha nini. Mimi sijabisha Sugu hakuwahi kuwa member wa Dar Young Mob. Nimesema Too Proud alikuwa member wa Dar Young Mob.

Kundi ambalo hata kuli spell hujui.
Solid G hawakuwepo Yo Rap B

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BDP ni ma bloo zangu na majiran zangu hapa kino kwakwel baadhi ya member wa group hali zao mbaya haswa DREZ yan ni kama kadata anakunywa mpaka gongo amekongoroka sana,meno ya show ya mbele 5 hamna,anaongea mwenyewe tu muda mwingi...Isssa yuko kigambon alihama kabisa Kinondon shamba,Computer aliondokaga muda sana kino sijui alipo
 
Tunaendelea kuwakumbuka
 
Sasa si umsaidie unakwama wapi??
 
Wenye nyimbo zao mtuwekee wanakwetu.

Nimeukumbuka wimbo wa MWEZI WA MISUKOSUKO wa COMPUTER.
 
BDP ni ma bloo zangu na majiran zangu hapa kino kwakwel baadhi ya member wa group hali zao mbaya haswa DREZ yan ni kama kadata anakunywa mpaka gongo amekongoroka sana,meno ya show ya mbele 5 hamna,anaongea mwenyewe tu muda mwingi...Isssa yuko kigambon alihama kabisa Kinondon shamba,Computer aliondokaga muda sana kino sijui alipo
Duh,drez kupoteza nlionana naye muda sana
Na alikuwa yuko njwiiii
Ile video ya ya majobless unaikumbka

Ova
 
Back
Top Bottom