Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Yaap na hapo ndio Inspector alionekanaga mnafki maana wenzake walijitoa Tmk wanaume na kuanzisha TmK halisi yeye hakutoka mpaka wakamtungia wimbo wa Ndege Tunduni.no k
ni kama east coast na tmk wanaume kabla ya kugawanyika tmk kuwaona east coast watoto wa mama wazee was upanga.
Jamaa aritangulia kupata u STAR nature alifuata badae
Umeisahau Bye Bye...Ngoma zake kali
Asali wa moyo
Mtoto wa geti kali
Pamba nyepes
Rap katuni
Tatizo Inspector mmeanza kumjulia kwenye mtoto wa geti kali, enzi hizo nature yupo kwenye game kitambo sana,
Anyway pengine ushabiki ila kwangu me ni nature kwanza.
Mkuu hongera 2001 uko form I wakati umezaliwa 1990[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]huyu jamaa nakumbuka enzi nipo form one 2001 alikuwa ndio kama diamond wa bongo fleva sasa hivi
Ngoma zake kali
Asali wa moyo
Mtoto wa geti kali
Pamba nyepes
Rap katuni
Kwa mara ya kwanza Nature kasikika kwenye "Mtulize" mabaga freshUko sahihi.. halafu nature hakutoka na nyimbo yake nafikiri alishirikishwa na king sapeto ndo akaua kwenye verse yake
Ukisikiliza ile ngoma ya Mtoto wa geti kali ndo utajua huyu jamaa ni genius.
Inspector hajawahi kuwa member wa Tmk wanaume family, yeye alijiunga wanaume halisi hata hiyo ndege tunduni hakutungiwa yeye pia kwanza naye pia kaimba kwenye hiyo ngomaYaap na hapo ndio Inspector alionekanaga mnafki maana wenzake walijitoa Tmk wanaume na kuanzisha TmK halisi yeye hakutoka mpaka wakamtungia wimbo wa Ndege Tunduni.
Those times when music was real.
alikuwa mwanamziki wa kawaida tu.. usimpaisheKwa mnao fuatilia bongo fleva toka kitambo nadhani mtakuwa mnamkumbuka sana huyu jamaa.
Haroun Rashid Juma Kahena.Almaarufu kama Inspector Haroun aliteka sana soko la muziki wa Bongo fleva miaka ya 2000 mwanzoni.
Tujikumbushe enzi za ufalme wa Inspector Haroun kwenye muziki wa Bongo Fleva
Kwa mara ya kwanza Nature kasikika kwenye "Mtulize" mabaga fresh
!
!
Mtoto wa Get Mablet Mambo Zake Vibody tigty Ana mandhari ya Kimis nywele mithili ya Jenifa lopez
Baadae Kidogo
Cheki mtoto alivyojaza jazia Kafunga fungafunga Shia Guu la beer
Baadae Kidogo
Maji ya Kunde Kaenda Hewani Sekunde...
Baadae Kidogo
Chotara
Sijui Alikuwa anaimba vitu gani huyu mtu
Hebu acha uongo weweYaap na hapo ndio Inspector alionekanaga mnafki maana wenzake walijitoa Tmk wanaume na kuanzisha TmK halisi yeye hakutoka mpaka wakamtungia wimbo wa Ndege Tunduni.
Those times when music was real.
Ndege tunduni ile nyimbo alitungiwa Said Fella wakisema anawanyonya, kutoka kundini ndiyo wakaimba wao wajanja wamekimbia.Inspector hajawahi kuwa member wa Tmk wanaume family, yeye alijiunga wanaume halisi hata hiyo ndege tunduni hakutungiwa yeye pia kwanza naye pia kaimba kwenye hiyo ngoma
Yaap na hapo ndio Inspector alionekanaga mnafki maana wenzake walijitoa Tmk wanaume na kuanzisha TmK halisi yeye hakutoka mpaka wakamtungia wimbo wa Ndege Tunduni.
Those times when music was real.
Sure, ingawa sio fella directly mana Fella alisimama kama mwenye ndege mana yeye ndo alikuwa boss, ndege tunduni walikuwa ni kina chege, Kr, Temba, na washkaji wengine waliobaki kwenye kundi wakifugwa na fella, ukisikiliza vizuri sehemu aliyoimba Juma nature unaweza Pata direct message. Kr badae alijitoa akaenda wanaume halisiNdege tunduni ile nyimbo alitungiwa Said Fella wakisema anawanyonya, kutoka kundini ndiyo wakaimba wao wajanja wamekimbia.
Ukifuatilia kwenye video kuna bango limeandikwa 'Kitambi si cheo' ni dongo kwa Fella.
Huyo jamaa kamtaja Inspekta kizazi cha juzi itakuwa
Awo wote wawili nawajua toka wanaanza mziki. Kwa kifupi wewe ndo umewajua juu juu tuTatizo Inspector mmeanza kumjulia kwenye mtoto wa geti kali, enzi hizo nature yupo kwenye game kitambo sana,
Anyway pengine ushabiki ila kwangu me ni nature kwanza.
Siyo KR ni mzimu ndiyo huyo alisemwa mabawa yalikuwa madogo, alipotoka akabanwa na mlango. KR hadi nyimbo ya Dar mpaka Moro inatoka yupo bado.Sure, ingawa sio fella directly mana Fella alisimama kama mwenye ndege mana yeye ndo alikuwa boss, ndege tunduni walikuwa ni kina chege, Kr, Temba, na washkaji wengine waliobaki kwenye kundi wakifugwa na fella, ukisikiliza vizuri sehemu aliyoimba Juma nature unaweza Pata direct message. Kr badae alijitoa akaenda wanaume halisi