Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

Msemaji wa stand inited ni Deokaji Makomba.
 
Umemsahau Lazaro Matarange the Voice Man
 
Hahahaaa, point of correction, kuanzia 2000 kuja mpaka 2010. Ahsante mkuu.
poa poa mkuu pamoja sana.
Nime enjoy sana kiss fm mwaka 2004 hivi nikiwa malizia malizia primary school.

DJ malis nilikuwa namckia sana mida ya kuelekea saa mbili usiku..kina steve B, Irene tilya sijui dah

Kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa Tobby da Splash, dah jamaa alikuwa safi sana..

Wengineo wengi, najaribu kukumbuka miaka 13 iliyopita, ilikuwa burudani sana..
 
Ni kweli KISS FM walikuwa na full package ya watangazaji, jamaa walikuwa wako poa na ulikuwa huboreki kusikiliza.
 
..Nadhani suala la malipo finyu litakuwa limewakimbiza pale mjengoni hawa jamaa hah hah haiwezekani kati ya wote hapo wapo dsm kwa sasa wanakimbiza kwenye vituo vikubwa! Iwe fundisho siku nyingine
 

We kipindi hiko uko primary.......umechanganya huyo aliitwa Vivian Tillya mpenzi wake Complex walifariki kwa ajali ya gari,Irene ni mdogo wake kaanza si muda mrefu kihivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…