tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,315
Msemaji wa stand inited ni Deokaji Makomba.Hawa wote baadhi yao walishatimka mfano Baruan Muhuza na Ivona Kamuntu wapo azam tv, Muksin Mambo yupo TV one, Fredwaa yupo clouds fm, Samadu Hassan bado yupo star tv, Steve moyo Mchonge ni msemaji wa club ya stand united shinyanga, Ahmed Kipozi alikuja kuwa dc, Neville Meena ni kiongoz kwenye jukwaa la waandishi wa habari, Godwin Gondwe ni dc now, Irene Mwakalinga yupo TBC anaripoti kutoka iringa, Paul James yupo clouds fm, Isaac Muyenjwa Gamba yupo Deuschvelle ujerumani