Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA


Ahsante sana kamanda. Unalo la kuongezea?
 
sawa sawa mkuu asante kwa kunirekebisha!

Niko std 6 hapo sijui hata huyo mdada ana mahusiano na nani wala nini,

Just enjoying good things from them...
Sawa sawa mkuu,huyo alikuwa anafanya kipindi kimoja cha mchana na B12 alivyofariki B12 akakibadili jina akakiita XXL akamleta Fetty kama mbadala wa Vivian na Mchomvu pia ndo akaingia kipindi hiko ndo wanaanza anza kazi
 
Kuna jamaa wa kiss FM aliitwa Joachim Mwengaluguru mkali wa rap na ngeli iliyosmama sjui yko WAP,kwa kwel hawa jamaa walinisaidia kias kikubwa kjua lugha ya queen Eliza
Jamaa aliwahi kufanya ngoma moja kali sana na JCB,
 
mwenye uwezo wa kurudisha Hali anayoipoteza ktk tasnia ya habar n ruge somehow anatetea fan yake
Keshaitwa na makonda mwenzie, jumatatu anatakiwa ajisalimishe kwa Siro, RFA ya miaka hiyo ni kama RTD ya miaka hiyoooo haitakaa itokee tena....
 
Wakati huo rfa ilikuwa moto wa kuotea mbali
 
Dj malis alikuwa na dada mmoja hivi pale kiss fm mida ya jioni,dada alikuwa anaitwa Tamimu,sijui yupo wapi,daaa those days
Kitambo sana,wangelikuwepo bado pale radio free,ingekuwa ndio habari ya town hii radio saiv waisha japo sio kivile!!
 
Alafu kiss fm mbona hawapo online,hawapo kwenye apk za android wala kwenye website
 
Kwa mfano ile KISS FM ya kuanzia 2000 kuja 2010 ilikuwa powa sana, wako wapi akina Tracy, Bella, DJ Malis, DJ Carter, Chriss Mac.etc
Hii redio ndiyo iliyosambaza muziki wa Africa Mashariki kanda ya ziwa(sijui kwa mikoa mingine), kuanzia 2003. Na siku zote huwa nasema hakuna pahala unapigwa muziki mzuri katika redio za Tanzania kama Kiss fm. Kipindi hicho hapa Steven Kafire hapa Dj Malis.
 
Dah.....umenikumbusha mbali ssna....nilikuwa na mkubari sana Mkamiti Juma, sasa yupo VOA kama Mkamiti Kibayasi. Huyu dada alikuwa ndo mtangazaji wa kwanza maarufu mwanamke Tz
 
Sana mkuu, jamaa walikuwa moto sana.
 
Nadhani pia ni redio mojawapo zilizoanza kurusha matangazo yake kwa FM. Sauti ilikiwa na utulivu kuliko za AM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…