Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

ivi alienda wapi aisee? jioni walikuwa wanakinukisha na kina DJ Mali's na mabishano yao ya hapa na pale dah! I mc those days.
Sijui hata najiulizaga na ile sauti yake clouds kwanini hawakumtaka wakamchukua
 
Back in my boarding school days, Kiss Fm was the station to keep it locked at. African beats used to be the bomb, Toby's sports show around lunch hour(Sundays?) was the truth too; but my favorite show came on Saturdays, the weekend top 30 with Hollywood Hamilton.
 
Samweli David Joseph mwana wa kiama "Uncle sam" aka the gramper, kipindi cha bunge la wasikilizaji. Daah ilikuwa poa sana, pia na yule Roy Mlaliki Maganga usiku wa mahaba na kipindi cha nimekusamehe lakini sitakasahau, hiyo generation sijui kama itakuja kutokea tena kwa RFA!
 
Back
Top Bottom