sunola
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 2,781
- 1,739
ivi alienda wapi aisee? jioni walikuwa wanakinukisha na kina DJ Mali's na mabishano yao ya hapa na pale dah! I mc those days.Mimi namkumbuka Glory Robinson mtoto wa mama sabuni sauti yake ilikuwa inanikosha hatari