Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

Aisee wakati kiss FM inaanza kina Toby,Bushbaby,DJ Mali ngumu aka Malis, Peter Omary ilikuwa hatari baadaye kwenye drive time akaja mkenya Jk alikuwa anapiga ngoma hatari jioni hapo African beat unamkuta Dee7 ,Sherry na Malis,au DJ Simba mtoto wa Buswelu ngoma juu ya ngoma mweee Sahara media inakwisha Diallo Fanya mpango waje watu
 
Mkuu hiyo timu uliyoitaja haitakaa itokee tena pale Sahara, walikuwa na mpngilio mzuri wa vipindi na watangazaji waliofit kwenye vipindi vyao. Tangu kipindi cha kwanza asubuhi mpaka cha mwisho usiku ulikuwa ni moto wa kuotea mbali, walijua kucheza na wasikilizaji na walipata wasikilizaji wengi sana. Nadhani kwa kipindi kile KISS FM kilikuwa ndio kituo bora cha burudani Tanzania hususani kwa wasikilizaji waliokuwa wanapenda lugha ya malkia. Mara nyingi nilikuwa naifananisha na KISS FM ya Kenya (Nairobi Fresh), jamaa walikuwa na uwezo na vipaji.
 
mwenye uwezo wa kurudisha Hali anayoipoteza ktk tasnia ya habar n ruge somehow anatetea fan yake
 
Mkuu hiyo timu uliyoitaja haitakaa itokee tena pale Sahara, walikuwa na mpngilio mzuri wa vipindi na watangazaji waliofit kwenye vipindi vyao. Tangu kipindi cha kwanza asubuhi mpaka cha mwisho usiku ulikuwa ni moto wa kuotea mbali, walijua kucheza na wasikilizaji na walipata wasikilizaji wengi sana. Nadhani kwa kipindi kile KISS FM kilikuwa ndio kituo bora cha burudani Tanzania hususani kwa wasikilizaji waliokuwa wanapenda lugha ya malkia. Mara nyingi nilikuwa naifananisha na KISS FM ya Kenya (Nairobi Fresh), jamaa walikuwa na uwezo na vipaji.
Kwa kweli unakaa unakumbuka unabaki kusikitika maana siku hizi tunaskiliza radio bhasi tu ,was very fun baadaye alikuja DJ Muhksin Mambo wa watu wa 2000s tuliruka disco lake pale Rumours club near Mwanza hotel ile club sitasahau
 
Ivona Raymond kamuntu magazeti napenda hadi kufa huyu mdada
 
Back
Top Bottom