Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,204
- 5,710
Wengi naona mnazungumzia 2003 kuja kuui RFA ilikuwa ni FM yangu ya Kwanza kusikiliza ilikuwa imetulia balaa hadi tunashangaa maana tulishazoea AM.
Enzi za Akina JANE mukama aisee alikuwa ametulia huyu dada nadhani aliondoka kwenye 1998.
Frola Nducha walikuwa na mtindo wa kusoma habari za usiku kwa kupokezana. Kila baada ya habari moja kuna jingle flan hivi ilikiwa maarufu sana basi itabigwa katikati ya habari.
Kipindi cha Mambomambo saa 10 ni balaa na soundtrack yake iliokuwa inaanza. Michezo.saa 2:00 na akina steve moyo, mchongi, Deokaji makomba usikilize redio gani tena
Jioni pale kipindi cha saa 8-10 nimekisahau jina utamkuta Samweli Davis kihama uncle sam yupo na Sandu G a.k.a kidbway aisee huchoki RFA
Hawa jamaa walifanana sauti sana, Sam na kid bway usipokiwa makini unawachanganya, walipenda kutaniana sana pia.
Roy Maganga michezo chezo ya kipindi cha mahaba usiku akiwa na Stella stumbi akajikuta kawa Mke
Wote saizi wapo Redio Tanzania roy na mkewe stella.
Rahabu fred alikuwa na nyodo sana online kwenye simu ukimzingua anakata simu saizi naona yupo Azam.
Azam kabeba 60% ya Watangazaji wa Sahara Media
RFA iliwaunganisha watanzania maana ilisikika mara mpk mtwara. Dar mpk kigoma, bara na visiwani, haitatokea
RFA itabaki kumbukumbu kwa wengi.