Tujikumbushe hii kauli tata ya marehemu mwanamuziki Diana Aston Villa kwa faida ya wote

Tujikumbushe hii kauli tata ya marehemu mwanamuziki Diana Aston Villa kwa faida ya wote

Kumbe mpaka road aliutolea huku? na Pachifu si alikuwa na Tozi? Aiseeeee ni hatari.
Labda toZi alikuwa anatumia kinga mazee, maaana yeye pia ana msururu wa mademu kibao akiwemo mtoto wa Mzee mboleBu hapo patamu.
 
Labda toZi alikuwa anatumia kinga mazee, maaana yeye pia ana msururu wa mademu kibao akiwemo mtoto wa Mzee mboleBu hapo patamu.

Acha tu mkuu kusalimika ni ngumu sana,ndomu ni game ya kwanza ,game ya pili na kuendelea ni kuuza tu...Kabinti bado kadogo tu nacho lazima kaende kutandaza gridi.

Kalapina alitoa kibao chake 2006-2007 kinaitwa beef alimchana msanii mkubwa kwamba ana "DRUM" aliitolea Tanga.
 
Jana baada ya kusikia kifo cha banza hata mimi nilikumbuka hii habari na hiyo kauli ya marehemu Diana.
Hata hivyo wote wameshakufa, tuwaombee wapumzike pema maana hakuna jinsi tena.
Tumetoka mbali aisee
 
Diana alifanya kitu kibaya mno kutaja fulani na fulani lazima wamfuate
List aliitoa 6TVU... Kwa mama mzazi wa Diana .... Kipindi hicho diana afya imeteteleka........ Mama kwa hasira akawa anaonge kwa watu.....magazeti ya udaku yakazidaka.
 
List aliitoa 6TVU... Kwa mama mzazi wa Diana .... Kipindi hicho diana afya imeteteleka........ Mama kwa asira akawa anaonge kwa watu.....magazeti ya udaku yakazidaka.
Yaaani kama kitabu fulani cha tamthilia o level kikiitwa orodha
 
Back
Top Bottom