The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Aliwahi kumchana Mzee Mengi mubashara kuwa alikataa Fedha zake 😂Ulikuwepo kipindi anazikataa?
Matajiri wapi, ilikua shi ngapi?
Sasa alikataa pesa za Mengi sio Matajiri.Aliwahi kumchana Mzee Mengi mubashara kuwa alikataa Fedha zake 😂
Mengi ni maskini? 😂Ulikuwepo kipindi anazikataa?
Matajiri wapi, ilikua shi ngapi,
Sasa alikataa pesa za Mengi sio Matajiri.
Mengi ni Matajiri?Mengi ni maskini? 😂
Nani?Yuko wapi ?
Jiwe alikuwa na chuki zake binafsi, alivyokamatia rungu ndio alilipa kisasi chake..!!Aliwahi kumchana Mzee Mengi mubashara kuwa alikataa Fedha zake 😂
Toka 2010 CCM waliamua kuachana na ufadhili wa matajiri kutokana na masimango,inadaiwa bashe alimsimanga ridhwan kuwa mfadhili wa bashe ndiyo wa JKGT
Wazungu wanamsemo wao unasema " Scratch my back I Scratch yours " hii kwa kiswahili inaitwa nipe nikupe.
Hicho ndo maCCM wanafanya dhidi ya matajiri. Je watakuja kulipa nini. Wakikwepa kodi or whatever watawafanyaje?
Wafanyabiashara wa kiafrika wanamakandokando mengi sana ukiwachekea utavuna mabua.
View attachment 3440703
Bora Bunge kijani tupu kuliko Bunge la Upinzani feki. Vyama kupewa Ubunge kwa maridhiano.Magu alikuwa anakwapua pesa za matajiri bank na ukiuliza unapewa kesi ya uhujumu uchumi…!!
Utawala wake nao ulikuwa mbovu na hii kunyanyasa upinzani na kutuwekea bunge kijani tupu aliharibu..!!
Nini? 😳Bora Bunge kijani tupu kuliko Bunge la Upinzani feki. Vyama kupewa Ubunge kwa maridhiano.
Mfano NyalanduGT