johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Unadhani IPP ni single proprietor? 😂Mengi ni Matajiri?
Unadhani IPP ni single proprietor? 😂Mengi ni Matajiri?
Ulikwqpuliwa tsh ngapi au baba ako?Magu alikuwa anakwapua pesa za matajiri bank na ukiuliza unapewa kesi ya uhujumu uchumi…!!
Utawala wake nao ulikuwa mbovu na hii kunyanyasa upinzani na kutuwekea bunge kijani tupu aliharibu..!!
Lilikua Bunge sifuri . Bunge la hovyo kuwahi kutokea.Nini? 😳
Lile bunge lililopita wewe umeliona lina weledi kabisa?
Bunge kibogoyo wanapitisha miswaada ya kudidimiza tai
Acha kukaza matako bwana mdogoUlikuwepo kipindi anazikataa?
Matajiri wapi, ilikua shi ngapi,
Sasa alikataa pesa za Mengi sio Matajiri.
Kwani lazima Kila mtu awe kama Magufuli?GT
Wazungu wanamsemo wao unasema " Scratch my back I Scratch yours " hii kwa kiswahili inaitwa nipe nikupe.
Hicho ndo maCCM wanafanya dhidi ya matajiri. Je watakuja kulipa nini. Wakikwepa kodi or whatever watawafanyaje?
Wafanyabiashara wa kiafrika wanamakandokando mengi sana ukiwachekea utavuna mabua.
View attachment 3440703
Hahaha umefanya nichekeAmefanya nichukie sana uongozi wa mwanamke!!!
Watu wanachangia CCM na sio mtu binafsi.Magufuli Alikuwa anaona mbali sana, ukishachangiwa michango na mtu yeyote tegemea na wewe watataka urudishe fadhila kwao,hawa wafanyabiashara tegemea watakwepa sana kodi na wengine watasamehewa,Chini ya Uongozi wa huyu mama tusitegemee makubwa kwenye maendeleo ya nchi ila tutegemee rushwa na ubadhilifu wa Mali za Umma wa kutisha, Sijawai kumuona Samia akikemea rushwa hata siku moja
Aliwaruhusu kula kulingana na urefu wa kamba, Amefanya nichukie sana uongozi wa mwanamke!!!
Umepotoka na hizi ndio akili za watu maskini wanaodai watawafanya matajiri waishi kama mashetani.Mwambaa alikua sahihi sana na sio huyu kijuba
Sawa Mama Jiwe.Acha kukaza matako bwana mdogo
Kumbuka kuwa Hapa duniani kila mtu ni investor na kila unachofanya ana invest; aidha hakuna kitu kinaitwa Bure.GT
Wazungu wanamsemo wao unasema " Scratch my back I Scratch yours " hii kwa kiswahili inaitwa nipe nikupe.
Hicho ndo maCCM wanafanya dhidi ya matajiri. Je watakuja kulipa nini. Wakikwepa kodi or whatever watawafanyaje?
Wafanyabiashara wa kiafrika wanamakandokando mengi sana ukiwachekea utavuna mabua.
View attachment 3440703
Mtu ninayemfahamu wa pili ni NyalanduUlikuwepo kipindi anazikataa?
Matajiri wapi, ilikua shi ngapi,
Sasa alikataa pesa za Mengi sio Matajiri.
GT
Wazungu wanamsemo wao unasema " Scratch my back I Scratch yours " hii kwa kiswahili inaitwa nipe nikupe.
Hicho ndo maCCM wanafanya dhidi ya matajiri. Je watakuja kulipa nini. Wakikwepa kodi or whatever watawafanyaje?
Wafanyabiashara wa kiafrika wanamakandokando mengi sana ukiwachekea utavuna mabua.
View attachment 3440703
Mbowe alikua anatumika kumchafua Magufuli akitumwa na wanamtandaoMagu alikuwa anakwapua pesa za matajiri bank na ukiuliza unapewa kesi ya uhujumu uchumi…!!
Utawala wake nao ulikuwa mbovu na hii kunyanyasa upinzani na kutuwekea bunge kijani tupu aliharibu..!!
Kwanini na yeye Magu alikubali kuchafuliwa?Mbowe alikua anatumika kumchafua Magufuli akitumwa na wanamtandao
Pumba tupuKwani lazima Kila mtu awe kama Magufuli?
Uzuri wanaochangia hawamchangii mtu Bali wanachangia chama kama inavyofanyika Dunia nzima so hakuna tatizo lolote.
Wewe ni punguani pumbavu kabisa,uchangie Kampeni za chama chako udae Watakulipa nini?Pumba tupu
Wao kama chama watalipa fadhila zipi kama siyo kuikosesha mapato nchi
Kujiunga ccm sharti ubongo wote uuache kwa mwenyekiti wako na wewe ubakie kopoWewe ni punguani pumbavu kabisa,uchangie Kampeni za chama chako udae Watakulipa nini?
Hadi unajiunga na CCM au Chadomo manake umependezwa na sera za chama husika kwenye biashara zako au mambo yako.
Wewe Kwa akili zako za kipunguani Polepole au Mwendazake mwenye sera za kijamaa anaweza changiwa n wafanyabiashara?
Hata Mimi ningekuwa na pesa ningechangia Kwa sababu ni muumini wa biashara na sio ujamaa
Kajounge Sasa Kwa fukara wenzako unamtolea nani povu?Kujiunga ccm sharti ubongo wote uuache kwa mwenyekiti wako na wewe ubakie kopo
Hapo ulipo unajiona unazo?
Kopo la ccm wewe
Dunia nzima kama wapi toa mfanoKwani lazima Kila mtu awe kama Magufuli?
Uzuri wanaochangia hawamchangii mtu Bali wanachangia chama kama inavyofanyika Dunia nzima so hakuna tatizo lolote.