ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
USADunia nzima kama wapi toa mfano
USADunia nzima kama wapi toa mfano
FactMagu alikuwa anakwapua pesa za matajiri bank na ukiuliza unapewa kesi ya uhujumu uchumi…!!
Utawala wake nao ulikuwa mbovu na hii kunyanyasa upinzani na kutuwekea bunge kijani tupu aliharibu..!!
Leo wamesahau hayo hao wanopiga kelele matajiri wametowa mchango hawakapitia huwo mfumo wa kunyanganywa kwa nguvuMagu alikuwa anakwapua pesa za matajiri bank na ukiuliza unapewa kesi ya uhujumu uchumi…!!
Utawala wake nao ulikuwa mbovu na hii kunyanyasa upinzani na kutuwekea bunge kijani tupu aliharibu..!!