Tujikumbushe JJ Mnyika alivyomkabili Rais Magufuli kuhusu Demokrasia, Maendeleo ya Watu, na vyuma kukaza

..Sijui kwanini Jpm alichukia wapinzani kiasi kile.
Hakushinda uchaguzi uliomuweka madarakani , ndio maana akalazimishwa kumteua Kipilimba kuwa DG wa Tiss , kumbuka kwamba Kipilimba aliingizwa wiki moja kabla ya uchaguzi kuwa kamishna wa NEC (Usiniulize zaidi).

Baada ya Magufuli kujua kwamba hakushinda bali alipewa basi akaamua kupiga marufuku vyama vya siasa .
 
Ahh ila kweli nakumbuka hilo tukio. Na baada ya uchaguzi akwa DG
 
Demokrasia na maendeleo ni mapacha.
 
Chadede naona mnabrand Mnyika kwa sasa.
 
..Sijui kwanini Jpm alichukia wapinzani kiasi kile.
Sababu ni Marehemu Phares Kabuye alimshinda Magufuli kwenye kugombea ubunge jimbo la Biharamuro.

Tangu wakati huo Magufuli hakuamini katika uchaguzi jimbo la Chato alikuwa anapita ubunge bila kupingwa kwa kuwanunuwa wapinzani.

Haka kazee kalianza ushenzi wake siku nyingi ila bahati mbaya watu wengi walichelewa kumjuwa rangi zake halisi.

Mfano hata leo hii kuna watu hawajui kama Mwigulu Nchemba ni kiumbe katili sana kwa sababu Watanzania huwa hawatunzi kumbukumbu.
 
Ndio maana Mungu aliamua kumaliza ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…