..Mnyika akiwa mkoani Simiyu leo.
Kwa jinsi Chadema walipigwa vita nilidhani hakuna hata mtanzania mmoja mfuasi wao tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Mnyika akiwa mkoani Simiyu leo.
Hakushinda uchaguzi uliomuweka madarakani , ndio maana akalazimishwa kumteua Kipilimba kuwa DG wa Tiss , kumbuka kwamba Kipilimba aliingizwa wiki moja kabla ya uchaguzi kuwa kamishna wa NEC (Usiniulize zaidi)...Sijui kwanini Jpm alichukia wapinzani kiasi kile.
Kanda ya Serengeti iko vizuri sanaVichwa vya TAIFA.....
Ahh ila kweli nakumbuka hilo tukio. Na baada ya uchaguzi akwa DGHakushinda uchaguzi uliomuweka madarakani , ndio maana akalazimishwa kumteua Kipilimba kuwa DG wa Tiss , kumbuka kwamba Kipilimba aliingizwa wiki moja kabla ya uchaguzi kuwa kamishna wa NEC (Usiniulize zaidi).
Baada ya Magufuli kujua kwamba hakushinda bali alipewa basi akaamua kupiga marufuku vyama vya siasa .
..kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi.
..angalia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa.
..hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza.
..wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa kuzungumza mbele ya Jpm kama alivyofanya JJ Mnyika.
Mnyika ni jembeHayati mwenyewe kwa simu yake alimtaka sana Mnyika achague cheo chochote. Kwa staha kabisa akajibiwa nimechagua KM Chadema.
🤣🤣🤣walitamani wamlisu pale paleHata Murilo na Msigwa walikuwa hawana amani ya moyo jinsi Mnyika alichokuwa akitiririka.
Lini mkuu?Hayati mwenyewe kwa simu yake alimtaka sana Mnyika achague cheo chochote. Kwa staha kabisa akajibiwa nimechagua KM Chadema.
kipindi jiwe ananunua wabunge wa ChademaLini mkuu?
Ni heshima kubwa sana kwa Mnyika kama ni kweli.
Dah,watu waovu aiseeTuliogopa Mnyika angewekwa hivi.View attachment 2286156
Watu waovu Sana!!Tuliogopa Mnyika angewekwa hivi.View attachment 2286156
Sababu ni Marehemu Phares Kabuye alimshinda Magufuli kwenye kugombea ubunge jimbo la Biharamuro...Sijui kwanini Jpm alichukia wapinzani kiasi kile.
Ndio maana Mungu aliamua kumaliza ubishiSababu ni Marehemu Phares Kabuye alimshinda Magufuli kwenye kugombea ubunge jimbo la Biharamuro.
Tangu wakati huo Magufuli hakuamini katika uchaguzi jimbo la Chato alikuwa anapita ubunge bila kupingwa kwa kuwanunuwa wapinzani.
Haka kazee kalianza ushenzi wake siku nyingi ila bahati mbaya watu wengi walichelewa kumjuwa rangi zake halisi.
Mfano hata leo hii kuna watu hawajui kama Mwigulu Nchemba ni kiumbe katili sana kwa sababu Watanzania huwa hawatunzi kumbukumbu.